Kama hawa wasiozidi milioni mbili wametupelekesha watu milioni 60 uwanja wa Amani, wakipata uhuru kamilii tutawaweza?

Kama hawa wasiozidi milioni mbili wametupelekesha watu milioni 60 uwanja wa Amani, wakipata uhuru kamilii tutawaweza?

Mleta mada achana na akili za unyonge na ubaguzi usio na maana.

Mechi ya jana lilikuwa bonanza tu na siyo mechi ya kimaamuzi. Zanzibar Haina uwezo wa kushindana na Bara kwa Sasa wakiamua kuweka vikosi vya kwanza na kuamua kushindana.

Jana yalikuwa majaribio ya wachezaji na mifumo ya walimu wa mpira. Usichukulie too serious.
 
Miano Danilo! Player of the match......Upande wa kulipa upo Salama. Hili ndio la msingi. Pep Guadiola mnene angewaacha wale ma -pro wamalize dakika arobaini labda tungepata kitu walishaanza kuchangamka na kujitafuta. Wakaingizwa pira papatu papatu wasofundishika
Jumla kambi ina wachezaji 53 na wanatakiwa 27 kwa ajili ya AFCON, hivyo makocha ni lazima wawachuje ili wapate wale tu wenye kufaa kwa ajili ya safari ya Ivory Coast. Ile mechi ni sehemu ya mchakato wa mchujo wa kupata wachezaji bora 27.
 
Hamna kitu hao,hivi unacheza na Tanganyika wewe,
Mashindano ya mapinduzi bara wanapelekaga timu B. Hawayapi kipaumbele hayo maahindano
 
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.

Je, hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli?

Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara.
Zanzibar Ukiifuta ccm badi itakuwa kama Dubai.
 
Wazanzibar wapo wengi sn, sema wamejibana huku bara kwa wajinga, nadhani wapo zaidi ya milioni 4
Ngoja tupate Tanganyika yetu, tutahakikisha tunawatoa wote na ikibidi eneo lote la pwani pamoja na watu wake wachukue ili watuondoshee jamu huku baadae tunajenga ukuta ili kujitenga nao!
 
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.

Je, hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli?

Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara.
Wanaokwamisha maendelea ya Zanzibar ni watu wa Bara.

Bara imejaa mbumbumbu wengi na wasiojitambua.
 
Unamaanisha Kilimanjaro stars ilikuwa ni wachezaji milioni 60 na Zanzibar heroes ilikuwa na wachezaji milioni 2??

Pointi yako haina mashiko

Ulitakiwa uandike kama mtu wa mpira kwa kuangalia nature ya game, umuhimu wa game, ufundi wa wachezaji, plan za timu nk

In short,

Wingi haujawahi kuwa hoja

Hata hivyo, Mapinduzi cup kwa ujumla wake haichukuliwi serious na wachezaji wa Tanganyika
Usijitoe ufahamu, Zanzibar Wana vipaji vya Mpira kuliko Bara
 
Kumbuka Dar ilikua sehemu ya zanzibar. Labda ndio uamuzi wa kuhamisha makao kwenda dodoma ili warudishiwe jiji lao na pwani yote toka tanga mpaka mtwara

Ndoto hizo. Mipaka ya mataifa yote inayofuatwa sasa hivi ni ile mipaka ambayo waliiweka kwenye mkutano Berlin.

Mjerumani makao yake yalikuwa Dar. Na mipaka ya Tanganyika haijawahi kubadilika.

Muungano ukifa, mipaka inarudi kama ilivyokuwa kabla ya 1964.
 
Back
Top Bottom