Kama haya matukio ya Makonda yangekuwa ni Movie, Je ingepewa jina Gani?

Kama haya matukio ya Makonda yangekuwa ni Movie, Je ingepewa jina Gani?

Uwiii, Ray Boy...lol!

Lakini kwa kweli jamaa na wakubwa zake wamechemka kinoma, halafu imagine bado tu anaji vinjari.

Kuna mahali tena nimesema, alipotamka kuwa atafukuza watu "Mkoani Kwake" na wataondoka bila hata sandals ndo nilipomuona konyo kabisa na alivyo mtupu kichwani.
Kama vile huu mkoa aliujenga yeye na hakuchaguliwa, tena na wananchi. Kwa sababu huyo boss wake aliyemuweka hapo, amewekwa hapo na wananchi pia. Halafu leo akaseme ni mkoa wake.
Mm hua sifuatilii siasa na sipendi siasa ila hilo litahila limenifanya nilichukie lenyewe na boss lake upara.
 
423c1dc1bd7576d9ecaacc6d63b19895.jpg

One of me favorite....... daily c achi kumfananisha yule wa magogon na huyu madafaka
 
Kwa mfano huu mlolongo wa matukio yanayomuhusu makonda yangekuwa ni movie. Wewe ungeipa Title gani?

Na je ingekuwa ni Action, Comedy, Horror, thriller, au Romance ?


"Dar es salaam prophet very agreeable to noble Ngosha"
 
Back
Top Bottom