Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu soma andiko langu vyemahawa watu wanajua kupoteza muda wao.
ikiwa ni kweli.
na kama mpango wao huo ukikamilika basi waasisi wake wote watakua makaburini kwao.
na lau wangelijua kuhusu baada ya kufa kuna kipi kinachofata wasingejarib kufanya upuuzi kama huo.
Maadamu wao ni wanaadamu basi wajue kwamba hawadhuru wala hawanufaishi ila atakopata yule mwenye amri kuu.
Hahahaaaa rudia kulisoma andiko languHiyo amri kaitoa nani? Na baada ya kuwapunguza!...Na yeye yupo tayari apunguzwe....
Simple like that?Hao wanaofanya mpango huo wataishi milele?? Haya ni mambo ya kusadikika..
Mkuu embu naomba uelezee zaidi kuhusu hiyo chanjo ya watoto na connection ya life expectus... Hii kitu nshaisikiaga ila sikuweza pata data zaidi!!Ushawahi kusikia kwamba life expectancy ya watu imeongezeka? Kila siku inazidi kupungua. Ipo siku usishangae binadamu atakuwa na life expectancy ya mwaka mmoja. Ushawah kulifikiria hilo?
Me nashauri watu tufanye mambo yamsingi na itafakari kwa kina post yako kabla ya kuirusha. Hizi story kawapigie walokole na waislam wa siasa kali ndo mambo yao hayo. Watakupenda kweli.Katika pitapita zangu nimekutana na documentary moja inayoelezea mantiki nzima ya New Word Order NWO, Kuna mengi yameelezewa lakini haya machache yamenifanya niamini kama ni kweli basi hakuna aliye salama tena.
1. Inasemekana mpango wa NWO unataka dunia yenye watu wasiozidi 500,000,000 duniani. Dunia kwa sasa ina watu wanaokadiriwa kufika bilioni 6, ili kubakisha idadi hiyo ya watu inabidi watu 5.5 bilion waondoke duniani.
2. Inasemekana mpango wa kuwaondoa hao watu duniani umeshaanza. Na njia kubwa inayotumika ni kupitia vyakula tunavyokula, vita, na magonjwa kama vile UKIMWI, Malaria, chanjo za utotoni n.k
3. Kilichonishtua zaidi ni kuhusu hizo chanjo za utotoni, inasemekana katika chanjo hizo kuna chemical imewekwa ambayo inapunguza life expectancy ya mtoto na kupunguza IQ yake. Bahati mbaya taasisi ambazo ndo wanatengeneza na kuidhinisha dawa hizo wamezishikilia wao.
4. Vyakula asilimia 98% tunavyokula ni generic modified, yaani ni vyakula ambavyo mbegu zake zimetengenezwa viwandani na wakadhibitisha kwamba vinafaa kwa matumizi yetu. Yaan hata ule mchicha unaopanda hapo nje kwako sio organic tena, mahindi nk vyote viko modified kwa interest zao.
Ni dhahiri kwa mwendo na speed hii, baada ya karne chache zijazo hao jamaa watakuwa wanaimiliki dunia na vyote vilivyomo.
Mkuu yaonekana uko deep sana,nimeanza kuelewa kwenye hiliGoals za NWO ni hii globalisation unayoiona leo kuanzia mfumo wa democracy economy system, mass media and entertainment western superiority, vita vyote unavyoviona kuanzia wwi mpaka wwii na uvamizi wa marekani ni agenda zile. NATO na IMF na WB na UN ndio main bodies za kutekeleza agenda zao.
Kwa kifupi hili ni swala pana sana.
duniani tutabaki wenye akili tu.
dadadadek.
Watoto wa kimasai wanaozaliwa huko porini hawaijui sindani ya chanjo na hawaijui polio surua n.k.Ungetoa nakaushauri jinsi ya kufanya...mfano tusile chakula ,watoto wasichanjwe halafu uone measles(surua),polio vitakavyoteketeza watoto.
Mzee mwenzangu ukiangalia kwa haraka haraka mabibi zetu wamekufa na miaka 100 utapata picha walio kuwepo kabla yao waligonga mpaka 200 na kuendelea ni suala la lifespan kushuka sasa hizi khabari za NWO nakuwa sizielewi elewi kama ulivyoandika nyakati za mwisho hizi tutasikia na kuona mengi.Nyakati za mwisho ni nyakati zenye kushangaza na kuogofya.....
Me nakubaliana na wewe hii NWO in janga mfano mdogo tu ni kwamba fluoride inapatikana kwenye dawa ya meno na maji ya kunywa, hii kitu in hatari maana INA dumaza ubongo na kumfanya MTU asiweze kufikiri vizuri.Katika pitapita zangu nimekutana na documentary moja inayoelezea mantiki nzima ya New Word Order NWO, Kuna mengi yameelezewa lakini haya machache yamenifanya niamini kama ni kweli basi hakuna aliye salama tena.
1. Inasemekana mpango wa NWO unataka dunia yenye watu wasiozidi 500,000,000 duniani. Dunia kwa sasa ina watu wanaokadiriwa kufika bilioni 6, ili kubakisha idadi hiyo ya watu inabidi watu 5.5 bilion waondoke duniani.
2. Inasemekana mpango wa kuwaondoa hao watu duniani umeshaanza. Na njia kubwa inayotumika ni kupitia vyakula tunavyokula, vita, na magonjwa kama vile UKIMWI, Malaria, chanjo za utotoni n.k
3. Kilichonishtua zaidi ni kuhusu hizo chanjo za utotoni, inasemekana katika chanjo hizo kuna chemical imewekwa ambayo inapunguza life expectancy ya mtoto na kupunguza IQ yake. Bahati mbaya taasisi ambazo ndo wanatengeneza na kuidhinisha dawa hizo wamezishikilia wao.
4. Vyakula asilimia 98% tunavyokula ni generic modified, yaani ni vyakula ambavyo mbegu zake zimetengenezwa viwandani na wakadhibitisha kwamba vinafaa kwa matumizi yetu. Yaan hata ule mchicha unaopanda hapo nje kwako sio organic tena, mahindi nk vyote viko modified kwa interest zao.
Ni dhahiri kwa mwendo na speed hii, baada ya karne chache zijazo hao jamaa watakuwa wanaimiliki dunia na vyote vilivyomo.
Brother... Hii sio issue ya individual person. Ni issue ya community, hii issue ya organization. Means kama ww unavyomfundisha mwanao kuwa muumin safi wa ukristo au uislam nao hiyo ndo kazi yao, kurithisha hayo majukumu kwa kika kizazi kwenye organization.Wao hao wanaishi wapi,wao wanakula nin,wao wanayakqepaje hayo? Uhmmm....
Hakika mkuuMzee mwenzangu ukiangalia kwa haraka haraka mabibi zetu wamekufa na miaka 100 utapata picha walio kuwepo kabla yao waligonga mpaka 200 na kuendelea ni suala la lifespan kushuka sasa hizi khabari za NWO nakuwa sizielewi elewi kama ulivyoandika nyakati za mwisho hizi tutasikia na kuona mengi.
Hizi issue ni kwamba ukimwambia mtu ambae ni layman ki ukweli ni vigumu sana kuelewa. Yaan vichwa vya watu wengi vishakuwa occupied kiasi kwamba unapojaribu kum twist afikirie the other way around hawezi anaishia kutoa majibu rahisi tu ya, "Huo uongo tu"Me nakubaliana na wewe hii NWO in janga mfano mdogo tu ni kwamba fluoride inapatikana kwenye dawa ya meno na maji ya kunywa, hii kitu in hatari maana INA dumaza ubongo na kumfanya MTU asiweze kufikiri vizuri.