zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Haya mambo siyo yakusadikika mkuu.
Kama tu Hitler aliua zaidi ya Wayahudi milioni sita, Wahutu wameua Watutsi zaidi ya lakini nane na Stalin wa Urusi aliua Wayukreini zaidi ya milioni mbili.
Unategemea kuna kitu ambacho mwanadamu anashindwa kufanya???
Hakika hakuna jambo la kusadikika hapa duniani.

una ushahidi kuwa hitler aliua wayahudi million 6??? au ni stori za kusadikika tu mnaalishwa bila kufanya utafiti. Pia nani aliyekwambia watutsi laki nane walikuwepo rwanda wakati wa genocide wakati hata kufikia 1994 watutsi rwanda hawakuzidi 200,000 kwa kuwa wengi wao walikimbia vita ya 1959.