Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

niliwahi kuona kwenye video jamaa kamega paracetamol katikati akakuta kawaya cha silver
Hahahaaa hatari sana. Na kwenye hizi dawa ndo watatumaliza. Maana ni mara ngapi wewe umepewa dawa ukahoji kwamba imetengenezwa na nini?
 
Nope kwenye swala la kuamini Mungu lipo controversial kidogo kimsimamo.

Me naamini Mungu yupo na wakati mwingine huwa nawaonaga wanapoteza tu muda wao kubishana na vitu vilivyombali na upeo kuamini au kutoamini uwepo wa Mungu hakumfanyi Mungu kuwepo au kutokuwepo.

That's faith it's not science hata upinge mpaka lini automatically God is there kutokumuamini kwako hakumfanyi kukimbia au kutoroka na kuacha empty space.

Pia sababu hii mada haihusiani na maswala ya Mungu japo kuna content za Mungu huwezi kuongelea hasa kutetea uhalali wa NWO bila kuamini uwepo wa Mungu katika mambo yote haya imani hasa Christianity inahusika sana kwenye haya maswala.

All this is in the Bible na huwezi kuongelea Illuminati Freemasonry NWO bilderberg group the round tables na other secret societies bila Bible haipo hiyo.

Pia nisingependa sana kuongelea mambo ya uhalali au ubatili wa uwepo wa Mungu kwsnye hii thread wacha tubaki kwenye mada husika.
In my Opinion, Mungu yupo bana and he always buy us time... Hizi plan Hitler alikuwa hazitimize wakati ule but something interfere... Then they come up with the plan of create the new world order in another way, so UN was establish.. Wametumia desease it didn't work... Then 9/11 happen kutengeneza fear ya ugaidi ambao haupo, it was all cooked up... ISS isingekuepo without 9/11... War on terror has kill more people than WW1 and WW2 combined..Ndoto za hitler zinaishi
 
Hao wanaovitengeneza pia watakufa ..Wala tusihofu kifohakikimbiliki...
 
Kwa watu wanaokula vyakula vibovyu ni wazungu. Ondoa sumu mwilini kula chakula bora na matunda mengi, kufa kupo tu kwa kila kiumbe, kama bado tunawazee wanaoishi miaka 100,110,80. Siwezi waamini kwakuwa ni plan za kibinadam ambao wote tunapita. SWALI ULISHAWAHI ONA RIPORT YA WATU DUNIANI INAPUNGUA? Kama hakuna carefull needed ili usijeishi mawazo ya wenzako
 
Tupe link ndugu.....

Katika pitapita zangu nimekutana na documentary moja inayoelezea mantiki nzima ya New Word Order NWO, Kuna mengi yameelezewa lakini haya machache yamenifanya niamini kama ni kweli basi hakuna aliye salama tena.

1. Inasemekana mpango wa NWO unataka dunia yenye watu wasiozidi 500,000,000 duniani. Dunia kwa sasa ina watu wanaokadiriwa kufika bilioni 6, ili kubakisha idadi hiyo ya watu inabidi watu 5.5 bilion waondoke duniani.

2. Inasemekana mpango wa kuwaondoa hao watu duniani umeshaanza. Na njia kubwa inayotumika ni kupitia vyakula tunavyokula, vita, na magonjwa kama vile UKIMWI, Malaria, chanjo za utotoni n.k

3. Kilichonishtua zaidi ni kuhusu hizo chanjo za utotoni, inasemekana katika chanjo hizo kuna chemical imewekwa ambayo inapunguza life expectancy ya mtoto na kupunguza IQ yake. Bahati mbaya taasisi ambazo ndo wanatengeneza na kuidhinisha dawa hizo wamezishikilia wao.

4. Vyakula asilimia 98% tunavyokula ni generic modified, yaani ni vyakula ambavyo mbegu zake zimetengenezwa viwandani na wakadhibitisha kwamba vinafaa kwa matumizi yetu. Yaan hata ule mchicha unaopanda hapo nje kwako sio organic tena, mahindi nk vyote viko modified kwa interest zao.

Ni dhahiri kwa mwendo na speed hii, baada ya karne chache zijazo hao jamaa watakuwa wanaimiliki dunia na vyote vilivyomo.
 
Inasadikika hayo n ya kufikirika tu
 
We were born to die.......ingawa yote unayosema ni ya kweli
No, umekosea. WE ARE BORN TO LIVE, GET OLD AND DIE, Huo ndio mpango wa Mungu kwako. Huko kufa kwingine kabla ya hapo believe me ni mipango ya wanadamu.
 
Na kwann MUNGU anaruhusu hayo mambo yatokee,na nimewahi sikia pia hao jamaa watatawala dunia kwa miaka 1000....MUNGU anajuana nao hawa jamaa??maana huwezi kumpa mtu mamlaka ya kutawala kitu chako bila kujuana nae.ILA NGOJA TUSUBIRI MAANA HAKUNA NAMNA.
 
Haya mambo ni imaginary Sana. Kwa hiyo kwa mitego yote hiyo wao watasalimikaje? Napenda Sana Kujua hao wanufaika na hiyo nwo wako wangapi.
 
Idadi ya watu ni zaidi ya billion saba kwa kuwa MTU Wa billion saba alizaliwa mwaka juzi kama so mwaka Jana.

Mkuu hivi vitu vinaweza kuwa na ualisia maana kuna watu wanaona kwamba wanatakiwa kukontrol population ya dunia hivyo wanajitahidi kufanya hivyo.

Watu ni wengi mno bila hivyo vyakula tutakufa mapema mno kwa hiyo hivyo vyakula bado vinasaidia kutufanya tuishi .fikiria kuku hawa tunaokula Wa kisasa na mayai yao
 
Ishi unavoishi basi ukifuatilia propagana za hawa jamaa utaumiza kichwa na kufa mapema
 
Ukiacha ngono ukimwi huwezi upata
Kumbuka amri ya usizini
 
Unapoainisha tatizo,uwe na ushauri wa kusolve.....enhe unatushaurije sasa mkuu,au umeamua kutuongeza mastress asubuhi yote hii!
 
Back
Top Bottom