Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Labda kweli.. Ila mi naona mazingaombwe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Report ya kushindwa kwao walikupa?Walijaribu imesha washinda muda mrefu mbona?
Kwani uyaoni yanayoendelea duniani?Report ya kushindwa kwao walikupa?
Hili swala ni pana sana na lina miaka zaidi hata kabla ya kuja kwa Yesu sasa wewe unasema wamejaribu uliwaona wakati wanajaribu?
Sasa hapa utakua emelijibu swali langu au umeuliza swali lingine?Kwani uyaoni yanayoendelea duniani?
Ushajiuliza hivyo vitabu vya dini vimetokea wapi?Kuhusu wao kuondoa watu kwa maradhi na hizo sumu hawawezi kamwe kwani hakuna neno katika vitabu vya dini zote kuwa katika mwisho wa dunia kutakuwa na watu wachache
Nadhani hiyo vitabu vyingeeleza kuwa ujio wa Yehova utakuta dunia ina watu wachache na ingeelezwa sababu ya kuwakuta watu wachache kufaham haya angalia jiwe linalo nolewa kisu na linalo sunguliwa miguu lipi limeuka umbile lake.
niliwahi kuona kwenye video jamaa kamega paracetamol katikati akakuta kawaya cha silverMkuu usipende kutoa majibu rahisi kwa maswali magumu. Mfano rahisi, wewe unaijua paracetamol bila shaka, una uhakika gani kwamba paracetamol ni salama kwa afya yako? Aliyeitengeneza paracetamol unamjua? Aliyemfadhili izo pesa za kutengenezea unamjua?
Tujuze basi wengine tuko vijijini tunalima hvyo hatujui kinachoendelea huko dunian. Na hyo midawa huwa tunajidunga tuMkuu usipende kutoa majibu rahisi kwa maswali magumu. Mfano rahisi, wewe unaijua paracetamol bila shaka, una uhakika gani kwamba paracetamol ni salama kwa afya yako? Aliyeitengeneza paracetamol unamjua? Aliyemfadhili izo pesa za kutengenezea unamjua?
Kuna mamia ya video za documentary zinazohusu hii issue wanajaribu kuuita conspiracy lakini ni real thing.
Wanua ndio, Hitler yuko wapi now. Na he wayahudi wameisha? Hata hapo wanaopanga kuua hawatafanikiwa, watakufa wao. Na maisha yataendeleaHaya mambo siyo yakusadikika mkuu.
Kama tu Hitler aliua zaidi ya Wayahudi milioni sita, Wahutu wameua Watutsi zaidi ya lakini nane na Stalin wa Urusi aliua Wayukreini zaidi ya milioni mbili.
Unategemea kuna kitu ambacho mwanadamu anashindwa kufanya???
Hakika hakuna jambo la kusadikika hapa duniani.
Uko sawa kabisa mkuu.Wanua ndio, Hitler yuko wapi now. Na he wayahudi wameisha? Hata hapo wanaopanga kuua hawatafanikiwa, watakufa wao. Na maisha yataendelea
Mkuu tatizo kuna watu wanakiona hiki kitu kama kinapangwa kwa short term kama budget za nchi. Mfano nilikuwa nasoma mahali, inasemekana kwa plan zao UKIMWI unaousikia haujafika hata katika phase ya kwanza kwa namna walivyoplani, na wanasema inaweza chukua hata miaka 60 ijayo ndo phase ya kwanza ya transmissiona ikamilike, sasa hawa sio watu wanaoangalia umri wa mtu, hawa jamaa wanakupigia long term plans za miaka mia 5 ijayo, na bahati mbaya ni kwamba kama wewe unavyozaliwa ukaanza kufunzwa na wazazi wako kwamba unatakiwa kuwa mtu bora, unatakiwa kuvaa nguo nk ndo wanavyopokezana, anaeziwa anaanza kutengeneza kwamba kazaliwa kwa kazi hiyo, ni kama dini zilivyk hizi.Kwa sababu wanasema ni mpango wa karne kadhaa ambapo ni miaka mia kuendelea yawezekana wakafanikiwa.
Lakini kuna maswali ya kujiuliza hapo hasa kwa wale tunaoamini uwepo wa Mungu. Mungu atakuwa wapi muda wote huo na ilihali alisema mkaijaze dunia? (mwingine atauliza je huyo Mungu anakuwa wapi wakati wa vita na majanga ya kiasili?, mambo haya yalishatabiriwa kuwepo...matetemeko vita mafuriko nk)
Tukirudi kwenye swala la vyakula hapo ndugu zangu huu ni ukweli usio pingika asilimia kubwa ya mazao ya shambani ya biashara na chakula pia kwa sasa mengi sio ya asili, ni ya kutengeneza viwandani. Lakini balaa liko zaidi kwa wale ambao bado wanatumia saaaanaaa "industrial foods and drinks". Hii mbaya hii weka mbali na watoto na wewe mtu mzima. Sana sana unaumiza ini na maafa mengine katika mfumo wako wa afya.