Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

Mkuu soma andiko langu vyema
 
Inaitwaje hiyo documentary na sisi tukaitafute tukionee?
 
Na mpaka huo muda utimie kizazi hiki kitakuwa kimepita na hao magwiji wa NWO hawatokuepo bila shaka,.
 
Ushawahi kusikia kwamba life expectancy ya watu imeongezeka? Kila siku inazidi kupungua. Ipo siku usishangae binadamu atakuwa na life expectancy ya mwaka mmoja. Ushawah kulifikiria hilo?
Mkuu embu naomba uelezee zaidi kuhusu hiyo chanjo ya watoto na connection ya life expectus... Hii kitu nshaisikiaga ila sikuweza pata data zaidi!!
 
Me nashauri watu tufanye mambo yamsingi na itafakari kwa kina post yako kabla ya kuirusha. Hizi story kawapigie walokole na waislam wa siasa kali ndo mambo yao hayo. Watakupenda kweli.
 
Mkuu yaonekana uko deep sana,nimeanza kuelewa kwenye hili
 
Ungetoa nakaushauri jinsi ya kufanya...mfano tusile chakula ,watoto wasichanjwe halafu uone measles(surua),polio vitakavyoteketeza watoto.
Watoto wa kimasai wanaozaliwa huko porini hawaijui sindani ya chanjo na hawaijui polio surua n.k.
 
toa link tuiangalie inawezekana hujawaelewa lugha ya malkia kidogo imesumbuwa
 
Wao hao wanaishi wapi,wao wanakula nin,wao wanayakqepaje hayo? Uhmmm....
 
Nyakati za mwisho ni nyakati zenye kushangaza na kuogofya.....
Mzee mwenzangu ukiangalia kwa haraka haraka mabibi zetu wamekufa na miaka 100 utapata picha walio kuwepo kabla yao waligonga mpaka 200 na kuendelea ni suala la lifespan kushuka sasa hizi khabari za NWO nakuwa sizielewi elewi kama ulivyoandika nyakati za mwisho hizi tutasikia na kuona mengi.
 
Me nakubaliana na wewe hii NWO in janga mfano mdogo tu ni kwamba fluoride inapatikana kwenye dawa ya meno na maji ya kunywa, hii kitu in hatari maana INA dumaza ubongo na kumfanya MTU asiweze kufikiri vizuri.
 
Wao hao wanaishi wapi,wao wanakula nin,wao wanayakqepaje hayo? Uhmmm....
Brother... Hii sio issue ya individual person. Ni issue ya community, hii issue ya organization. Means kama ww unavyomfundisha mwanao kuwa muumin safi wa ukristo au uislam nao hiyo ndo kazi yao, kurithisha hayo majukumu kwa kika kizazi kwenye organization.
 
Hakika mkuu
 
Me nakubaliana na wewe hii NWO in janga mfano mdogo tu ni kwamba fluoride inapatikana kwenye dawa ya meno na maji ya kunywa, hii kitu in hatari maana INA dumaza ubongo na kumfanya MTU asiweze kufikiri vizuri.
Hizi issue ni kwamba ukimwambia mtu ambae ni layman ki ukweli ni vigumu sana kuelewa. Yaan vichwa vya watu wengi vishakuwa occupied kiasi kwamba unapojaribu kum twist afikirie the other way around hawezi anaishia kutoa majibu rahisi tu ya, "Huo uongo tu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…