Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

Kama tunaamini dunia imeumbwa na Mungu uovu wote unafanyika dhidi ya uumbaji wa Mungu utashindwa tuu
 
Bado naona hata wao kwa wao wanaofikiri ndio wabaki watatamani kuondoana ili wabaki wachache zaidi. Bado vita itaanza tena ili idadi ndogo zaidi iendelee kuvaki duniani ambapo sijui watapata faida ipi.
 
Kuna dawa za bure zipo serikali za mitaa za mabusha nina wasiwasi nazo sana hizi nilienda kutaka barua ya utambulisho walikomaa na mm nipate nimepata lakin leo akili yangu ina maswali mengi sana mababu zetu waliishije bila ya kinga hizi?
 
At least ww umekuwa na hiyo reasoning... Ni wangapi wametumia na ambao hata hawajui zina nn izo dawa. Sasa uliza dawa zenyewe zmetoka wapi, utaskia, " ni msaada kwa hisani ya watu wa marekani"
 
ila nawenyewe hawatoishi milele. watakufa tu.
Najiuliza huo ushetani wa kupunguza wengine wao unawafaidisha nini? manake hakuna hata mmoja ayegonga miaka mia kusema ataenjoy uwepo wake hapa Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…