Edward Barnet
New Member
- Oct 24, 2016
- 3
- 0
Tusaidie Jina la documentary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tunaamini dunia imeumbwa na Mungu uovu wote unafanyika dhidi ya uumbaji wa Mungu utashindwa tuuKatika pitapita zangu nimekutana na documentary moja inayoelezea mantiki nzima ya New Word Order NWO, Kuna mengi yameelezewa lakini haya machache yamenifanya niamini kama ni kweli basi hakuna aliye salama tena.
1. Inasemekana mpango wa NWO unataka dunia yenye watu wasiozidi 500,000,000 duniani. Dunia kwa sasa ina watu wanaokadiriwa kufika bilioni 6, ili kubakisha idadi hiyo ya watu inabidi watu 5.5 bilion waondoke duniani.
2. Inasemekana mpango wa kuwaondoa hao watu duniani umeshaanza. Na njia kubwa inayotumika ni kupitia vyakula tunavyokula, vita, na magonjwa kama vile UKIMWI, Malaria, chanjo za utotoni n.k
3. Kilichonishtua zaidi ni kuhusu hizo chanjo za utotoni, inasemekana katika chanjo hizo kuna chemical imewekwa ambayo inapunguza life expectancy ya mtoto na kupunguza IQ yake. Bahati mbaya taasisi ambazo ndo wanatengeneza na kuidhinisha dawa hizo wamezishikilia wao.
4. Vyakula asilimia 98% tunavyokula ni generic modified, yaani ni vyakula ambavyo mbegu zake zimetengenezwa viwandani na wakadhibitisha kwamba vinafaa kwa matumizi yetu. Yaan hata ule mchicha unaopanda hapo nje kwako sio organic tena, mahindi nk vyote viko modified kwa interest zao.
Ni dhahiri kwa mwendo na speed hii, baada ya karne chache zijazo hao jamaa watakuwa wanaimiliki dunia na vyote vilivyomo.
[emoji57]Kwa mungu ukimwi ni cha mtoto,kanisani kwetu ukimwi watu wanapona
God is on vacation. Devil rules the world.Source ya documentary yako, halafu Mungu atakuwa wapi mda wote huo
Soma vyema uzi kuna mahala nimeiwekaTusaidie Jina la documentary
At least ww umekuwa na hiyo reasoning... Ni wangapi wametumia na ambao hata hawajui zina nn izo dawa. Sasa uliza dawa zenyewe zmetoka wapi, utaskia, " ni msaada kwa hisani ya watu wa marekani"Kuna dawa za bure zipo serikali za mitaa za mabusha nina wasiwasi nazo sana hizi nilienda kutaka barua ya utambulisho walikomaa na mm nipate nimepata lakin leo akili yangu ina maswali mengi sana mababu zetu waliishije bila ya kinga hizi?
Najiuliza huo ushetani wa kupunguza wengine wao unawafaidisha nini? manake hakuna hata mmoja ayegonga miaka mia kusema ataenjoy uwepo wake hapa Duniani.ila nawenyewe hawatoishi milele. watakufa tu.