Nitaweka makala ndefu siku ya Jumanne maana bado namalizia ku compile
Makala Hiyo itahusisha Mengi ambayo hata mtu hawezi kujisema,
Itahusisha mazungumzo binafsi, Maoni binafsi na ushauri alokuwa akiongea na watu wake wa karibu, yeye mwenyewe .
Itaweka Mtandao uliomsumbua sana na kuhangaika nao Kama rais
Viongozi aliowapenda sana na kuwakwepa kuwapa majukumu makubwa akihofia kutofaana nao,
Pia Itaangazia Ambayo angeandika Kama Majuto kwenye kitabu chake (Kuomba radhi aliyoyafanya akiwa Rais)
Usikae mbali
Britanicca