Daah sijawahi kuona mfu anasimangwa kama Magufuli.Umeandika kitu kama hadithi ya alfu lela ulela!
Magufuli astaafu?
Si alikuwa na wapambe wa kuanza kampeni ya urais wa maisha-kagame style!
Halafu toka awe waziri/rais kaandika kitabu gani?
Achia thesis ya "miaka miwili" aliyoandikiwa.
Huwezi jua nafsini mwake kulikuwaje........usihitimishe hivyo kwa mtazamo wako tu.Usije andika uwongo. Muktadha wa Magufuli ulikuwa siyo wa kuomba radhi mtu. Yeye silaha yake kubwa ilikuwa uwongo, vitisho na kujifanya mcha Mungu akiwa kwenye madhabahu. Lakini hakuwa mtu wa kujutia au kuomba radhi
Hatufai na hajawahi kutufaa na hatatufaaNitaweka makala ndefu siku ya Jumanne maana bado namalizia ku compile
Makala Hiyo itahusisha Mengi ambayo hata mtu hawezi kujisema,
Itahusisha mazungumzo binafsi, Maoni binafsi na ushauri alokuwa akiongea na watu wake wa karibu, yeye mwenyewe .
Itaweka Mtandao uliomsumbua sana na kuhangaika nao Kama rais
Viongozi aliowapenda sana na kuwakwepa kuwapa majukumu makubwa akihofia kutofaana nao,
Pia Itaangazia Ambayo angeandika Kama Majuto kwenye kitabu chake (Kuomba radhi aliyoyafanya akiwa Rais)
Usikae mbali
Britanicca
Yupo level moja na Idd Amin DadaDaah sijawahi kuona mfu anasimangwa kama Magufuli.
Huo ndio ukweliMkuu, sijasoma uzi bado, ila Magufuli hakua na mpango wa kumaliza muda wake, plan ilikua kufia madarakani na ikawa hivyo!!
Halafu kila anayemsimanga anadai ni kwa sababu Magufuli alikuwa muovu yani hakuna anayemsimanga kwa sababu hampendi aliguswa mambo yake.Daah sijawahi kuona mfu anasimangwa kama Magufuli.
Yule jamaa jamaa alikuwa fake, CCM walitupa gharasha!Daah sijawahi kuona mfu anasimangwa kama Magufuli.
Kama uwezo wako wa kufikiri ndio huo kuishia chupi la tako, basi heri Magufuli alikufa!Mtoto wa kike Una roho ya ajabu sana,nani atakuchumbia?
Nitaweka makala ndefu siku ya Jumanne maana bado namalizia ku compile
Makala Hiyo itahusisha Mengi ambayo hata mtu hawezi kujisema,
Itahusisha mazungumzo binafsi, Maoni binafsi na ushauri alokuwa akiongea na watu wake wa karibu, yeye mwenyewe .
Itaweka Mtandao uliomsumbua sana na kuhangaika nao Kama rais
Viongozi aliowapenda sana na kuwakwepa kuwapa majukumu makubwa akihofia kutofaana nao,
Pia Itaangazia Ambayo angeandika Kama Majuto kwenye kitabu chake (Kuomba radhi aliyoyafanya akiwa Rais)
Usikae mbali
Britanicca
Huna haja ya kuandika yote hayo bali kumwaga hiyo makala yako tuone kama una hoja au pumba.Nitaweka makala ndefu siku ya Jumanne maana bado namalizia ku compile
Makala Hiyo itahusisha Mengi ambayo hata mtu hawezi kujisema,
Itahusisha mazungumzo binafsi, Maoni binafsi na ushauri alokuwa akiongea na watu wake wa karibu, yeye mwenyewe .
Itaweka Mtandao uliomsumbua sana na kuhangaika nao Kama rais
Viongozi aliowapenda sana na kuwakwepa kuwapa majukumu makubwa akihofia kutofaana nao,
Pia Itaangazia Ambayo angeandika Kama Majuto kwenye kitabu chake (Kuomba radhi aliyoyafanya akiwa Rais)
Usikae mbali
Britanicca
Usisahau wizi, ujambazi na mauaji ambayo alipanga kutekeleza!
Nafsi yake ilikuwa ni ya SHETANI, majibu yanafahamikaHuwezi jua nafsini mwake kulikuwaje........usihitimishe hivyo kwa mtazamo wako tu.