Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

Kila gas na density yake, ndomana kadri unavoenda juu kutoka usawa wa bahari kiasi cha oksjen kinapungua kwasababu oksjen ina density kubwa kwahyo inapatikana karibu na uso wa dunia
Ni umbali gani wa kwenda juu ambao oxygen huishia, ni vipimo gani hutumika kupima na kugundua kiasi cha umbali huo?
 
Mtu ambaye anamini dunia ni bapa, si tufe.
Mimi bado nafanya tafiti kuhusu hilo.

pia kuhusu Gravity na Mambo mengine, hata mimi niliyasoma nikiwa shule, tena nilikuwa napenda sana hizo topic. Niliamini na nilikuwa na ndoto za kujifunza zaidi kuhusu space.

Lakini kwa sasa nimepata mashaka kidogo kuhusu hii nadharia, na najaribu kudadisi na kufanya tafiti kuhusu nadharia mbadala..

Lengo la kuuliza au kuleta mada hii, ni kujaribu kuona ni namna gani wenzangu bado wanaishi kwa kuamini mambo ya shuleni pasipo kuhoji na kutafakari kwa kutumia akili zao binafsi....
 
Njia zipo nyingi na nyingi ni za kitaalamu lakini zote ni za kupitia oxygen detectors
Oxygen detectors/sensors ninazo zijua mimi ni zile za kupima kiwango cha oxygen kwenye mwili wa mtu, kwa njia ya kidole.

Au zile za kupima oxygen kwenye vyombo vya usafiri.

Nataka uniambie ni vipimo vipi hutumika kupima kiwango cha oxygen kwenye anga za juu?
 
Mimi bado nafanya tafiti kuhusu hilo.

pia kuhusu Gravity na Mambo mengine, hata mimi niliyasoma nikiwa shule, tena nilikuwa napenda sana hizo topic. Niliamini na nilikuwa na ndoto za kujifunza zaidi kuhusu space.

Lakini kwa sasa nimepata mashaka kidogo kuhusu hii nadharia, na najaribu kudadisi na kufanya tafiti kuhusu nadharia mbadala..

Lengo la kuuliza au kuleta mada hii, ni kujaribu kuona ni namna gani wenzangu bado wanaishi kwa kuamini mambo ya shuleni pasipo kuhoji na kutafakari kwa kutumia akili zao binafsi....
Umesoma Einstein's Relativity?
 
Mkuu, This sunday kama ratiba zako zitakuruhusu naomba tufanye online meeting (google or zoom) ningependa tufanye mdahalo then tuzichallenge facts zetu kwa pamoja mimi na wewe.
Kama utakuwa interested naomba unitumie email yako pm tuongee vizuri zaidi
 
Kwahyo unataka kusema kwamba baharini hakuna hewa?

For your information
Baharini gases zimo including oksijen na carbon dioxide ndomana samaki na viumbe wa majini wanasurvive huko kwasababu kuna hewa pia
Mbona unanilisha maneno yako butu? Nisome tena aseee. Ikiwezekana mtafute mkalimani akusaidie kwa kilugha.

Nina hakika hujui kusoma kabisa; umekariri tu herufi za alfabeti wewe.
 
Mimi bado nafanya tafiti kuhusu hilo.

pia kuhusu Gravity na Mambo mengine, hata mimi niliyasoma nikiwa shule, tena nilikuwa napenda sana hizo topic. Niliamini na nilikuwa na ndoto za kujifunza zaidi kuhusu space.

Lakini kwa sasa nimepata mashaka kidogo kuhusu hii nadharia, na najaribu kudadisi na kufanya tafiti kuhusu nadharia mbadala..

Lengo la kuuliza au kuleta mada hii, ni kujaribu kuona ni namna gani wenzangu bado wanaishi kwa kuamini mambo ya shuleni pasipo kuhoji na kutafakari kwa kutumia akili zao binafsi....
Utafiti wako inabidi uwe kisayansi bilashaka ulisoma majaribio ya kisayansi kuproove kile unakitafuta!

Hapa unafanya umbeya tu na kuchosha watu. Ingia field ulete majibu yako
 
Back
Top Bottom