DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
11Post namba ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
11Post namba ngapi?
Force inapatikana kwa calculation soma physics bila hivo huwez kuelewaNi vipimo gani hutumika kupima hiyo force?
Nielezee kwa ufupi namna ya kufanya hiyo calculationForce inapatikana kwa calculation soma physics bila hivo huwez kuelewa
Ni umbali gani wa kwenda juu ambao oxygen huishia, ni vipimo gani hutumika kupima na kugundua kiasi cha umbali huo?Kila gas na density yake, ndomana kadri unavoenda juu kutoka usawa wa bahari kiasi cha oksjen kinapungua kwasababu oksjen ina density kubwa kwahyo inapatikana karibu na uso wa dunia
Mtu ambaye anamini dunia ni bapa, si tufe.Flat earther ni mtu wa aina gani?
Mimi bado nafanya tafiti kuhusu hilo.Mtu ambaye anamini dunia ni bapa, si tufe.
We elewa ukienda juu zaidi ya futi 30,000 umekwishaNi umbali gani wa kwenda juu ambao oxygen huishia, ni vipimo gani hutumika kupima na kugundua kiasi cha umbali huo?
Jibu ni moja Tu na limeshatolewa au unataka tupange foleni utusahihishie?Na wewe jibu lako ni lipi?
Sawa, lakini niambie ni kipimo gani hutumika kujua mwisho wa uwepo wa oxygen katika anga?We elewa ukienda juu zaidi ya futi 30,000 umekwisha
Sijaona jibu ambalo limeendana na swali nililo uliza, naambiwa tu Gravity na sumakuJibu ni moja Tu na limeshatolewa au unataka tupange foleni utusahihishie?
Njia zipo nyingi na nyingi ni za kitaalamu lakini zote ni za kupitia oxygen detectorsSawa, lakini niambie ni kipimo gani hutumika kujua mwisho wa uwepo wa oxygen katika anga?
Sawa mkuu,wewe mwenye lolote ndo Mpe majibu Sasa ya hoja yake!Hivi unafikiri majibu yaliyoko Google nani anayaweka? Google ni search engine tu wala haina lolote.
Oxygen detectors/sensors ninazo zijua mimi ni zile za kupima kiwango cha oxygen kwenye mwili wa mtu, kwa njia ya kidole.Njia zipo nyingi na nyingi ni za kitaalamu lakini zote ni za kupitia oxygen detectors
Umesoma Einstein's Relativity?Mimi bado nafanya tafiti kuhusu hilo.
pia kuhusu Gravity na Mambo mengine, hata mimi niliyasoma nikiwa shule, tena nilikuwa napenda sana hizo topic. Niliamini na nilikuwa na ndoto za kujifunza zaidi kuhusu space.
Lakini kwa sasa nimepata mashaka kidogo kuhusu hii nadharia, na najaribu kudadisi na kufanya tafiti kuhusu nadharia mbadala..
Lengo la kuuliza au kuleta mada hii, ni kujaribu kuona ni namna gani wenzangu bado wanaishi kwa kuamini mambo ya shuleni pasipo kuhoji na kutafakari kwa kutumia akili zao binafsi....
Sijasoma sana relativity, lakini nimemsoma Einstein na nimegundua alitumika kupotosha na kutunga nadharia ambayo itaficha ukweli.Umesoma Einstein's Relativity?
Inahitaji msingi wa angalau D of advanced physicsNielezee kwa ufupi namna ya kufanya hiyo calculation
Duh, Sawa mkuu, mimi hata advance sijafikaInahitaji msingi wa angalau D of advanced physics
Mkuu, This sunday kama ratiba zako zitakuruhusu naomba tufanye online meeting (google or zoom) ningependa tufanye mdahalo then tuzichallenge facts zetu kwa pamoja mimi na wewe.Mimi bado nafanya tafiti kuhusu hilo.
pia kuhusu Gravity na Mambo mengine, hata mimi niliyasoma nikiwa shule, tena nilikuwa napenda sana hizo topic. Niliamini na nilikuwa na ndoto za kujifunza zaidi kuhusu space.
Lakini kwa sasa nimepata mashaka kidogo kuhusu hii nadharia, na najaribu kudadisi na kufanya tafiti kuhusu nadharia mbadala..
Lengo la kuuliza au kuleta mada hii, ni kujaribu kuona ni namna gani wenzangu bado wanaishi kwa kuamini mambo ya shuleni pasipo kuhoji na kutafakari kwa kutumia akili zao binafsi....
Mbona unanilisha maneno yako butu? Nisome tena aseee. Ikiwezekana mtafute mkalimani akusaidie kwa kilugha.Kwahyo unataka kusema kwamba baharini hakuna hewa?
For your information
Baharini gases zimo including oksijen na carbon dioxide ndomana samaki na viumbe wa majini wanasurvive huko kwasababu kuna hewa pia
Utafiti wako inabidi uwe kisayansi bilashaka ulisoma majaribio ya kisayansi kuproove kile unakitafuta!Mimi bado nafanya tafiti kuhusu hilo.