Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Hahahaha nipp nafatilia comment nikishaona comment ya huyu jamaa Baba Swalehe hapo ndo taacha kusoma maana najua nishafika kwenye jibu sahihiNgoja nimshtue mwanangu Baba Swalehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha nipp nafatilia comment nikishaona comment ya huyu jamaa Baba Swalehe hapo ndo taacha kusoma maana najua nishafika kwenye jibu sahihiNgoja nimshtue mwanangu Baba Swalehe
Mkuu kutokuweka neno MWANGU kusikutoe kwenye reli maana hakuna sehemu pia nimesema kwamba hayaingii akilini kwa WATU WOTE,Ningekuona mwenye busara kama ungesema kwa nini unadhani hayo yaliyofafanuliwa hayaingii akili mwako.
Unachosema ni sahihi mkuu,lazima kuwe na maelezo ya kukataa jambo.Eleza sababu ya kutokubaliana nalo. Ndiyo maana umepewa maelezo anuwai na mifano mbalimbali.
Sababu zinazowekwa nazo zina utata,haziko clear.Yaani, usikatae wala kupinga jambo fulani tu.
Umejuaje? Unaona hadi akilini mwa wengine? Au unapinga ili kupinga tu kama ilivyo ada kwako.Mkuu kutokuweka neno MWANGU kusikutoe kwenye reli maana hakuna sehemu pia nimesema kwamba hayaingii akilini kwa WATU WOTE
Achana na uthibitisho kwanza. Je, gravitational force (kani mvutano), unaelewa maana yake?Mfano kuhusu gravitational force unaithibitishaje ?
Wapi nimesema kwamba haiingii akilini kwa watu wote ?Umejuaje? Unaona hadi akilini mwa wengine? Au unapinga ili kupinga tu kama ilivyo ada kwako.
Ni kani mvutano,hiyo ndio maana yake inajieleza katika tafsiri.Achana na uthibitisho kwanza. Je, gravitational force (kani mvutano), unaelewa maana yake?
Wapi nimesema kwamba haiingii akilini kwa watu wote ?Umejuaje? Unaona hadi akilini mwa wengine? Au unapinga ili kupinga tu kama ilivyo ada kwako.
Ni kani mvutano,hiyo ndio maana yake inajieleza katika tafsiriAchana na uthibitisho kwanza. Je, gravitational force (kani mvutano), unaelewa maana yake?
Tumsubiri mwana fizikia imelala paleHahahaha nipp nafatilia comment nikishaona comment ya huyu jamaa Baba Swalehe hapo ndo taacha kusoma maana najua nishafika kwenye jibu sahihi
Hakuna aliyewahi kutoka nje ya dunia, achana na ngonjera za NASA.Kurusha kitu kikaenda juu zaidi sio kwenye space tu, hata ndani ya maji pia.
Lakini binafsi sijawahi kuamini kama kuna mtu amewahi kutoka nje ya dunia(space)
Jamaaa anaijua phy kwanza sio poa...Tumsubiri mwana fizikia imelala pale
Gravity inajidhihirisha, hata kama huioni. Ukitaka kujua ipo, chukua jiwe halafu lirushe kwenda juu kwa nguvu, baada ya ile nguvu yako uliyotumia kulirusha kuisha, lile jiwe linaanza kurudi chini kwa kasi, sasa nini kinavuta hilo jiwe kurudi ardhini? Kwanini lisiendelee tu hadi nje ya dunia? Kinachovuta vitu vyote pamoja kuka duniani ndio kimepewa hilo jina.., ‘Force of Gravity’MImi bado sijaona uthibitisho wa kwamba kuna gravity.
Tunathibitishaje kwamba hiyo gravity ipo achilia mbali kwamba fulani amesema ?
Sawa waachie wana anga ndio mambo yao hayo kila mtu na taaluma yakeDuh, Sawa mkuu, mimi hata advance sijafika
Unafanya utafiti? Are you serious 😂? Hii ndo methodology unahis itakupa majibuMimi bado nafanya tafiti kuhusu hilo.
pia kuhusu Gravity na Mambo mengine, hata mimi niliyasoma nikiwa shule, tena nilikuwa napenda sana hizo topic. Niliamini na nilikuwa na ndoto za kujifunza zaidi kuhusu space.
Lakini kwa sasa nimepata mashaka kidogo kuhusu hii nadharia, na najaribu kudadisi na kufanya tafiti kuhusu nadharia mbadala..
Lengo la kuuliza au kuleta mada hii, ni kujaribu kuona ni namna gani wenzangu bado wanaishi kwa kuamini mambo ya shuleni pasipo kuhoji na kutafakari kwa kutumia akili zao binafsi....
Hapa hatuongelei magnetic attraction mzee tunaongelea gravityHiyo center iko wapi ?
Mfano tu sumaku
Huwezi kupata sense kama huna msingi wa hayo mambo mtu anasema hajasoma physics hajui hayo mambo kwa undani unahisi ataelewaje?Hiyo center iko wapi ?
Mfano tu sumaku
Unawaza sahihi kabisa.
Ndio maana hapa hakuna anayekuja na jawabu moja linalomake sense.
Wote wanakuja na majibu ambayo hayo majibu yenyewe yana utata.
Mtu anasema gravitational force wakati hiyo gravitational force yenyewe kuithibitisha ni tatizo.
Mtu anasema kwa sababu eti dunia inazunguka,wakati kuthibitisha kama dunia inazunguka pia ni ishu.
So wanakuja na majibu ya kukariri darasani wakati wewe umeuliza swali linalotaka common sense kulifahamu basi waje na majibu yenye common sense kabisa yenye logic.
Duh una maana tuanzie kwenye what is physics 😂😂😂Huyo hajui maana ya pressure. Period.
Kama unataka umweleweshe, mwanzie maana ya shinikizo au mgandamizo.
Muulize maswali ya udadisi, utagundua kitu.
😂😂😂😂 Atuelezee labda huenda Dunia ina uvungu 😂😂😂Chini ya dunia ni wapi huko? Bila kulielewa swali, haiwezekani kujibu kwa usahihi.
Mkuu wazo zuri hilo, ila kwa sasa nipo milimani nikirudi town tutafanya jamboMkuu, This sunday kama ratiba zako zitakuruhusu naomba tufanye online meeting (google or zoom) ningependa tufanye mdahalo then tuzichallenge facts zetu kwa pamoja mimi na wewe.
Kama utakuwa interested naomba unitumie email yako pm tuongee vizuri zaidi
Bado sijajua ukweli ni upiUkweli ni nini? Utaujuaje huu ukweli na huu uongo?
Mkuu, Gravity haina uhalisia wowote, ukirusha jiwe juu lazima lirudi kwasababu ya uzito wake na uwepo wa nafasi isiyokuwa na kizuizi.Mimi naona hii gravity ni ubabaishaji tu,inaact vipi according to weight na kwamba eti the heavier the matter the more it is affected.
Ndege kifaa inaruka juu zaidi ya ndege kiumbe.
Wakati huo ndege kifaa ni nzito kuliko ndege kiumbe.
So tulitegemea hii ndege isiweźe kuruka juu zaidi ya ndege kiumbe kwani ni nzito hivyo ingeathiriwa na gravitational force.
Kwa mantiki hiyo dhana ya kwamba grav.force inaathiri kitu kizito zaidi sio kweli,mbona imeshindwa kuathiri kifaa kizito ndege na inamuathiri binadamu ambae ni mwepesi kuliko ndege ?
Eti mkuu Bob Manson hii imekaa sawa kweli ?
Ni kweli kabisa juu kuna maji, kwani mwanzo kabisa palikuwepo maji pande zote, juu na chini, katika yake ndipo ikawekwa duniaHakuna aliyewahi kutoka nje ya dunia, achana na ngonjera za NASA.
Juu kabisa mbingu/anga ni maji, na haya ndo yanayoleta mvua n.k enzi za Nuhu Mungu alifungulia madirisha ya mvua kwa kasi na dunia ikajawa maji.
Wakati wa uumbaji alitenga maji ya juu na ya chini, Soma Mwanzo 1:6-7. Sio rahisi mwanasanyansi akakubali hii kitu ila Bible inatueleza.