Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

Sijaleta ujuaji, nimeuliza swali na watu wanatoa maoni yao, hata wewe pia nakushukuru kwa kuchangia maoni yako katika mada hii..
Unataka ujue ili ikusaidie nn? Ww sio kwamba unataka kujua ila unapinga kilichopo sasa fanya tafiti uje na hoja zako halafu Uzi defend
 
Kama dunia ina tabaka kuu nne, tabaka ya kwanza kabisa iliyo chini ni ipi?

1. Tabaka la biosphere (Crust, mantle, na Core)
Kwèñye Crust kûna maabara na Sakafu ya Bahari( sial na sima)

2. Tabaka la Maji ambalo hili ni 71% Hapa ndîo kûna Bahari kûbwa (ocean) Bahari ndogo(Sea) maziwa, mabwawa, Mito n.k.
Hili hukaa juu ya Ardhi ya Sakafu ya bahari

3. Anga la hewa (Atmosphere)
Àmbalo nalo linatabaka Zake.
Hii hukaa juu ya uso wa dunia
 
Sawa kabisa, sasa niambie ni kwa namna gani watu wamefahamu hayo matabaka yote, angali shimo refu zaidi kuwahi kuchimbwa lilifikia miles 7 tu kwenda chini...

Waliwezaje kujua kwamba kuna inner core', walitumia vipimo gani?
 
Hilo shimo linatobolewa kuanzia wapi mpaka wapi, unajua kwamba kwa mujibu wa hiyo sayansi, katikati ya dunia kuna kitu kinaitwa "inner core'?

Sasa unawezaje kutoboa shimo na katikati ya ardhi kuna joto na mvutano mkali?
Sijasema ukatoboe.

Nauliza kama ingewezekana kuchimba tobo kutoka upande mmoja wa dunia hadi mwingine kupitia kwenye kiini chake.

Nakushauri ubaki kwenye mada husika. Kama hujui, jibu hivyo tu.
Fikiria tumefanikiwa kutoboa shimo fulani kwenye dunia hadi upande wa pili, ili kuruhusu jiwe hilo liendelee kuzama na kushuka chini kwa kuliondolea kizuizi chochote kinacholishikilia.

Unadhani nini kitatokea?

Je, jiwe hilo litaserereka na kupitiliza hadi upande wa pili kwenye uso wa dunia (kama kutoka ncha ya kusini hadi kaskazini)?

Na kama ingetokea jiwe hilo likafika upande wa pili, lingeendelea kujongea katika uelekeo huohuo? Maana kwa mujibu wako, kizuizi kimeondolewa.
 
Sawa kabisa, sasa niambie ni kwa namna gani watu wamefahamu hayo matabaka yote, angali shimo refu zaidi kuwahi kuchimbwa lilifikia miles 7 tu kwenda chini...

Waliwezaje kujua kwamba kuna inner core', walitumia vipimo gani?
Si tumekubaliana utafanya utafiti sasa unauliza nn
 
Sijasema ukatoboe.

Nauliza kama ingewezekana kuchimba tobo kutoka upande mmoja wa dunia hadi mwingine kupitia kwenye kiini chake.

Nakushauri ubaki kwenye mada husika. Kama hujui, jibu hivyo tu.
Usinipangie jibu la kusema, huo mfano wako wa kutoboa shimo hauna uhalisia labda ulete mfano mwingine
 
Sawa kabisa, sasa niambie ni kwa namna gani watu wamefahamu hayo matabaka yote, angali shimo refu zaidi kuwahi kuchimbwa lilifikia miles 7 tu kwenda chini...

Waliwezaje kujua kwamba kuna inner core', walitumia vipimo gani?

Sijajua Walitumia vipimo gàni ila ushahidi wa wanachoeleza upo.

Uliwahi kupima wingi WA damu?
 
Bado hujajibu swali langu la awali kabla hujaniuliza hilo...

Niambie, ni vipimo gani hupima mzunguko wa dunia?
Unataka kujua ni vipimo gani? Ndiyo maana nikakuuliza kwa nini kuna usiku na mchana.

Hivi huoni mantiki na mfuatano wa hizo hoja hapo?

Hapa nakuongaza ili ujijibu mwenyewe, kwa sababu nionavyo una mzio wa majibu ya mtu mwingine.
 
Unataka kujua ni vipimo gani? Ndiyo maana nikakuuliza kwa nini kuna usiku na mchana.

Hivi huoni mantiki na mfuatano wa hizo hoja hapo?

Hapa nakuongaza ili ujijibu mwenyewe, kwa sababu nionavyo una mzio na majibu ya mtu mwingine.
Kwaiyo hivyo vipimo unavijua au huvijui?
 
Bado hujajibu swali langu la awali kabla hujaniuliza hilo...

Niambie, ni vipimo gani hupima mzunguko wa dunia?
Hapa sasa ndo watu wanakuja na taaluma zao
Unajua kuna mstari wa ikweta ambao una urefu wake unaweza ukautumia kama mzingo wa Dunia
Huo mzingo unaweza ukautumia kupata kipenyo cha Dunia hivyo uka calculate volume ya Dunia
Ukishapata volume unakuja kutumia density ya udongo, miamba maji kwa proportional yake ukapata density ya Dunia
Mwisho itakusaidia ku calculate uzito wa Dunia
Sasa hapo ukishapata mass unaweza ukapata vitu vingi unavyuouliza hapa
Kama physics uliishia Archimedes principle hapa utaona ni matusi matupu 😂😂😂
 
Sijawahi kupima wingi wa damu...

Kama hufahamu vipimo, basi niambie ni ushahidi gani huo wa wanachoeleza

Kachukue kipimo cha damu.
Huchukua kitone cha damu Kutoka kidoleni alafu watakuambia unaujazo WA damu lita 8-17. Bila Kukutoa damu yôte mwilini na kuipima.

Mfano wa 02.
Kwèñye Gesi au uchimbaji WA madini. Wataalamu wanapima alafu wanakuambia Eneo Hili Lina mafuta Kwa kiwango fulani.

Hiyo NI sayansi, wanatumia vipimo vya kisayansi kubaini hivyo
 
Back
Top Bottom