Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Jibu kwanza swali langu. Usiku na mchana hutokeaje?Vithibitisho gani hivyo? ni vipimo gani hutumika kupima au kuona mzunguko wa dunia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu kwanza swali langu. Usiku na mchana hutokeaje?Vithibitisho gani hivyo? ni vipimo gani hutumika kupima au kuona mzunguko wa dunia?
Kama unajua njia zinazotumika kupima mzunguko wa dunia, niambie ni zipiWw u aamini nn
Bado hujajibu swali langu la awali kabla hujaniuliza hilo...Jibu kwanza swali langu. Usiku na mchana hutokeaje?
Unataka ujue ili ikusaidie nn? Ww sio kwamba unataka kujua ila unapinga kilichopo sasa fanya tafiti uje na hoja zako halafu Uzi defendSijaleta ujuaji, nimeuliza swali na watu wanatoa maoni yao, hata wewe pia nakushukuru kwa kuchangia maoni yako katika mada hii..
Sawa mkuuUnataka ujue ili ikusaidie nn? Ww sio kwamba unataka kujua ila unapinga kilichopo sasa fanya tafiti uje na hoja zako halafu Uzi defend
Kama dunia ina tabaka kuu nne, tabaka ya kwanza kabisa iliyo chini ni ipi?
Hilo ndo jibu la swali uliloulizwa? Jibu swali unaamini Dunia ikoje? Na nn kinarudusha jiwe likirusgwa?Kama unajua njia zinazotumika kupima mzunguko wa dunia, niambie ni zipi
Sawa kabisa, sasa niambie ni kwa namna gani watu wamefahamu hayo matabaka yote, angali shimo refu zaidi kuwahi kuchimbwa lilifikia miles 7 tu kwenda chini...1. Tabaka la biosphere (Crust, mantle, na Core)
Kwèñye Crust kûna maabara na Sakafu ya Bahari( sial na sima)
2. Tabaka la Maji ambalo hili ni 71% Hapa ndîo kûna Bahari kûbwa (ocean) Bahari ndogo(Sea) maziwa, mabwawa, Mito n.k.
Hili hukaa juu ya Ardhi ya Sakafu ya bahari
3. Anga la hewa (Atmosphere)
Àmbalo nalo linatabaka Zake.
Hii hukaa juu ya uso wa dunia
Naamini muda si mref utakuja na huo uzi wenye majibu ya maswali yakoSawa mkuu
Sijasema ukatoboe.Hilo shimo linatobolewa kuanzia wapi mpaka wapi, unajua kwamba kwa mujibu wa hiyo sayansi, katikati ya dunia kuna kitu kinaitwa "inner core'?
Sasa unawezaje kutoboa shimo na katikati ya ardhi kuna joto na mvutano mkali?
Fikiria tumefanikiwa kutoboa shimo fulani kwenye dunia hadi upande wa pili, ili kuruhusu jiwe hilo liendelee kuzama na kushuka chini kwa kuliondolea kizuizi chochote kinacholishikilia.
Unadhani nini kitatokea?
Je, jiwe hilo litaserereka na kupitiliza hadi upande wa pili kwenye uso wa dunia (kama kutoka ncha ya kusini hadi kaskazini)?
Na kama ingetokea jiwe hilo likafika upande wa pili, lingeendelea kujongea katika uelekeo huohuo? Maana kwa mujibu wako, kizuizi kimeondolewa.
Si tumekubaliana utafanya utafiti sasa unauliza nnSawa kabisa, sasa niambie ni kwa namna gani watu wamefahamu hayo matabaka yote, angali shimo refu zaidi kuwahi kuchimbwa lilifikia miles 7 tu kwenda chini...
Waliwezaje kujua kwamba kuna inner core', walitumia vipimo gani?
Usinipangie jibu la kusema, huo mfano wako wa kutoboa shimo hauna uhalisia labda ulete mfano mwingineSijasema ukatoboe.
Nauliza kama ingewezekana kuchimba tobo kutoka upande mmoja wa dunia hadi mwingine kupitia kwenye kiini chake.
Nakushauri ubaki kwenye mada husika. Kama hujui, jibu hivyo tu.
Sawa kabisa, sasa niambie ni kwa namna gani watu wamefahamu hayo matabaka yote, angali shimo refu zaidi kuwahi kuchimbwa lilifikia miles 7 tu kwenda chini...
Waliwezaje kujua kwamba kuna inner core', walitumia vipimo gani?
Sawa mkuuNaamini muda si mref utakuja na huo uzi wenye majibu ya maswali yako
Sijawahi kupima wingi wa damu...Sijajua Walitumia vipimo gàni ila ushahidi wa wanachoeleza upo.
Uliwahi kupima wingi WA damu?
Unataka kujua ni vipimo gani? Ndiyo maana nikakuuliza kwa nini kuna usiku na mchana.Bado hujajibu swali langu la awali kabla hujaniuliza hilo...
Niambie, ni vipimo gani hupima mzunguko wa dunia?
Kwaiyo hivyo vipimo unavijua au huvijui?Unataka kujua ni vipimo gani? Ndiyo maana nikakuuliza kwa nini kuna usiku na mchana.
Hivi huoni mantiki na mfuatano wa hizo hoja hapo?
Hapa nakuongaza ili ujijibu mwenyewe, kwa sababu nionavyo una mzio na majibu ya mtu mwingine.
Hapa sasa ndo watu wanakuja na taaluma zaoBado hujajibu swali langu la awali kabla hujaniuliza hilo...
Niambie, ni vipimo gani hupima mzunguko wa dunia?
Kuna siku utapimaga tu usijaliSijawahi kupima wingi wa damu...
Kama hufahamu vipimo, basi niambie ni ushahidi gani huo wa wanachoeleza
Sijawahi kupima wingi wa damu...
Kama hufahamu vipimo, basi niambie ni ushahidi gani huo wa wanachoeleza