chadema wameshindwa kutumia busara zao na akili za kuzaliwa wanajua nchi ilikuwa katika hali mbaya sana na mdororo mkubwa,huku wahanga wakubwa wakiwa ni wao na wanachama wao
Da tungekuwa tuna mawazokama haya wote tungekuwa mbali sana mama ni muungwana vywa kutosha mdude katoka wanasema kashinda kesi ingekuwa kipindi kile angesota mpaka basi mama anahuruma kweli wengi wametoka lakini ndiyo wamezidisha jeuri mama endelea kuwanyoosha tu wataukubali moto wako tu haochadema wameshindwa kutumia busara zao na akili za kuzaliwa wanajua nchi ilikuwa katika hali mbaya sana na mdororo mkubwa,huku wahanga wakubwa wakiwa ni wao na wanachama wao...
Kwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe.
Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana akiwaambia polisi liwalo na liwe maelfu ya wananchi watafurika mahakamani Kisutu siku ya tarehe 5,,,
Uko sahihi Hawa watu wanatumia wanachama wao kwa maslahi yaochadema wameshindwa kutumia busara zao na akili za kuzaliwa wanajua nchi ilikuwa katika hali mbaya sana na mdororo mkubwa,huku wahanga wakubwa wakiwa ni wao na wanachama wao...
Kwenye space ya Maria huwa wanakuwa elfu 6. Na hapo Lisu anakenua meno eti hii ni zaidi ya mkutano wa hadhara
[emoji23][emoji23][emoji23]
Endeleeni kujidanganyaWatanzania wengi hawapendi rabsha za kuvunjwa miguu na kupotezewa muda kuwekwa ndani Ila chuki yao kwa serikali ni kubwa mno isiyoelezeka.
Kudai katiba sio kosa,ni haki ya wanaodai hata kama wasiposikilizwa bado wanahaki ya kudai kwa uhuru!chadema wameshindwa kutumia busara zao na akili za kuzaliwa wanajua nchi ilikuwa katika hali mbaya sana na mdororo mkubwa,huku wahanga wakubwa wakiwa ni wao na wanachama wao....
Kwa niaba ya watu wa usukumani😁!.We Msukuma lete picha ata ya ng'ombe