Kama hii ndiyo idadi ya CHADEMA kutoka mikoa kuja kwenye kesi ya Mbowe, basi chama kimepoteza mvuto kabisa

Kama hii ndiyo idadi ya CHADEMA kutoka mikoa kuja kwenye kesi ya Mbowe, basi chama kimepoteza mvuto kabisa

chadema wameshindwa kutumia busara zao na akili za kuzaliwa wanajua nchi ilikuwa katika hali mbaya sana na mdororo mkubwa,huku wahanga wakubwa wakiwa ni wao na wanachama wao kwa kuwekwa ndani kwa kesi mbali mbali kwa rehma za allah akatuletea mwanamama SSH mama kwa utu na hekima kuu kaanza kuwatoa ndani kwanza kwa upendo wake mkuu kawafutia makesi lukuki lakini shukurani hawana kabisa kumbe wema huu chadomo wameona ni ujinga wamefanyiwa #sisi wanachadema wa ngazi ya chini tunayaona haya sana na tunamshukuru sana mama yetu kipenzi aliaambia ndugu zanguni vuteni kwanza subira turekebishe upande huu mabwana wale wakaona haina maana wakaona wafanye fanye tu madudu madudu yao waivuruge nchi yetu ambayo ililelewa katika misingi ya masikilizano VIONGOZI WA CHADEMA WAACHE KUWABURUZA WANACHAMA WAKE KAMA MAPUNDA KWA MASILAHI YA VIONGOZI
Nyie wajinga mnataka muongozwe kwa Hisani ya Mtu
 
Kwenye space ya Maria huwa wanakuwa elfu 6. Na hapo Lisu anakenua meno eti hii ni zaidi ya mkutano wa hadhara
[emoji23][emoji23][emoji23]

Huko kwenye space kuna polisi wenye silaha?
 
Hawatokaa watoboe hawa

Wataishia mitandaoni tuu.... hapa naona idadi kubwa ya wafuasi 19 wa chadema kisutu🤣🤣🤣

Mara ya mwisho si walikuwa sifuri? 19 si zaidi ya sifuri? Na si nyinyi mlisema hatokezi mtu? Hata mbuyu unaanza kama mbegu. Mnakotaka twende siko.

Amandla...
 
Anaeamini kwamba chadema itashinda hata serikali za mitaa achilia mbali uchaguzi mkuu kwa aina ya siasa zao wanazoendesha sasa hivi, basi akajipime akili mwenyew kabla ya kuvua nguo na kuanza kuingia barabarani kuokota makopo. Fikiria pamoja na Lisu kukaa ulaya zaidi ya miaka mitatu, Mbowe kwenda kuweka kambi Dubai kwa zaidi ya miezi mitatu ili atakapofika aweze kuwa na mvuto, ukijumlisha na uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara wakati wa uchaguzi mkuu lkn haya ndio yalikuwa mahudhurio ya wanachama na wapiga kura wao katika uchaguzi mkuu

View attachment 1880720

Kama mnajua hivyo kwa nini wasimamizi wa uchaguzi mmejaza makada wakati hizo ni nafasi za kiutendaji? Umemfunga mtu mikono halafu unajiona bingwa kwa kumshinda?

Amandla...
 
Mara ya mwisho si walikuwa sifuri? 19 si zaidi ya sifuri? Na si nyinyi mlisema hatokezi mtu? Hata mbuyu unaanza kama mbegu. Mnakotaka twende siko.

Amandla...

Kumbe hata sio 19 sababu hapo kuna kina kolola ambao walienda kushuhudia nguvu ya mtandaoni vs nguvu ya kujitokeza kisutu
 
Kwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe.

Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana akiwaambia polisi liwalo na liwe maelfu ya wananchi watafurika mahakamani Kisutu siku ya tarehe 5, akaja John Pambalu mwenyekiti wa Bavicha Taifa naye akatishia nyau kuwa kuna maelfu ya wanachadema kutoka mikoa 5 watahudhuria kesi hiyo.

Leo wanachadema walioonekana wakiimba karibu na mahakama ya Kisutu hawajai hata kwenye kikanja!! Jirani yake wamachinga walikuwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.

View attachment 1880704
Chadema ikubali tu haina tena mvuto. Imefilisika kisera na kisiasa.
 
Pale juha anapojifanya mjuaji kumbe sufuri kichwani!Kudai katiba sio kosa,ni haki ya wanaodai hata kama wasiposikilizwa bado wanahaki ya kudai kwa uhuru!
Hapa ni kama unakiri kuwa yanayotokea kwa Mbowe ni kutokana na kudai kwake katiba na si hayo aliyoshtakiwa nayo!
Yaani Rais akisema mnipe muda,vyama vikampinga na kudai mabadiliko ni sasa,wanakuwa wamekosea wapi?Hiyo si ndio demokrasia?Kutofautiana na kukubaliana ni sehemu ya demokrasia!
Huko kote unazunguka tu ila ukweli ni kwamba Chadema bila purukushani na serikali(iwe kwa kukusudia au bila kukusudia) inaona haijafanya siasa kabisa, vitu vyengine ni kutumia akili tu mambo yaende ila kwa kuwa Chadema hawazitaki siasa hizo wamezoea purukushani basi wakaanza chokochoko kumchokoa Rais kwa jambo ambalo kwa Magufuli waliufyata sasa sijui hawakujua kama ni haki yao kudai hilo jambo?
 
Kumbe hata sio 19 sababu hapo kuna kina kolola ambao walienda kushuhudia nguvu ya mtandaoni vs nguvu ya kujitokeza kisutu

Hata angekuwa mmoja. Ni zaidi ya sifuri uliyokuwa ukitabiri. Ila sijui wale 25 waliokamatwa walitokea wapi? Au nao walibambikizwa tu wakati hawakuhusika?

Amandla...
 
Hata kama wamefika watu watatu ikukubalishe kuwa watu wamefika
 
Kama mnajua hivyo kwa nini wasimamizi wa uchaguzi mmejaza makada wakati hizo ni nafasi za kiutendaji? Umemfunga mtu mikono halafu unajiona bingwa kwa kumshinda?

Amandla...
Hamkosi malalamiko nyie na ndio mlivyozoeshwa na viongozi wenu. Ukweli ni kwamba Tanzania hakuna chama makini cha upinzani bali kuna upinzani wa umakini. Hata mkipewa nafasi zote za kusimamia uchaguzi mtaangushwa na siku inayofata mtakuja na malalamiko ya CCM kuwahonga wasimamizi wenu.
 
Huko kote unazunguka tu ila ukweli ni kwamba Chadema bila purukushani na serikali(iwe kwa kukusudia au bila kukusudia) inaona haijafanya siasa kabisa, vitu vyengine ni kutumia akili tu mambo yaende ila kwa kuwa Chadema hawazitaki siasa hizo wamezoea purukushani basi wakaanza chokochoko kumchokoa Rais kwa jambo ambalo kwa Magufuli waliufyata sasa sijui hawakujua kama ni haki yao kudai hilo jambo?
Hata wakimchokonoa,ilimradi hawajavunja sheria basi ni sawa na ndio demokrasia!
CDM iwe na purukushani au isiwe nazo ilimradi hawajavunja sheria basi wanatimiza wajibu wao!Yaani mnalazimisha vyama vyote vya siasa vipoe kama TLP?Haiwezekani,waacheni wadai wanachodai kwa uhuru!
Mfano wanapodai katiba na kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa katiba mpya,wanakosea?
Hata serikali isiziba masikio ni sawa ilimradi imewapa uhuru na haki yao!
Vitu vingine sio hisani,ni haki!
 
Hamkosi malalamiko nyie na ndio mlivyozoeshwa na viongozi wenu. Ukweli ni kwamba Tanzania hakuna chama makini cha upinzani bali kuna upinzani wa umakini. Hata mkipewa nafasi zote za kusimamia uchaguzi mtaangushwa na siku inayofata mtakuja na malalamiko ya CCM kuwahonga wasimamizi wenu.

Kwa hiyo unakiri kuwa nafasi zote mmehodhi CCM? Kama mnajiamini hivyo si wekeni wasimamizi huru na mruhusu mawakala wote wawe vituoni na wachukue picha za matokeo? Kama kweli mko makini kwa nini mpaka leo mahesabu ya kura za kwenye vituo mmeshindwa kutoa?

Amandla...
 
Kesi za kubambikiza angalau hii mpya ya ugaidi haionekani kwenye bandiko lako refu. Ni coincidental au deliberate.
kesi hii uwezi iita ya kubambikiziwa ni mhakama pekee na ushahidi uliopo ndivyo vitatupa directions na ukweli tuvute subira
 
Unaangalia Wingi au Ubora bwashee?
Kwani chama huwa kinaangalia idadi ya wanachama au ubora?

min short kila mmoja ana maana when it comes to politics

hata wewe chadema Wanakuona wa maana ingawaje deep inside unajijua kwamba huna maana yoyote zaidi ya kelele tu za kipinzani
 
Kwa hao wachache tu CCM mmeleta polisi wangapi?
Kwa hao wachache tu mmeshindwa kumleta Mbowe mahakamani yet you have all the resources at your disposal.
You are nothing but a bunch of cowards.
 
Back
Top Bottom