Kama hii ndiyo idadi ya CHADEMA kutoka mikoa kuja kwenye kesi ya Mbowe, basi chama kimepoteza mvuto kabisa

Kama hii ndiyo idadi ya CHADEMA kutoka mikoa kuja kwenye kesi ya Mbowe, basi chama kimepoteza mvuto kabisa

Kwa hiyo unakiri kuwa nafasi zote mmehodhi CCM? Kama mnajiamini hivyo si wekeni wasimamizi huru na mruhusu mawakala wote wawe vituoni na wachukue picha za matokeo? Kama kweli mko makini kwa nini mpaka leo mahesabu ya kura za kwenye vituo mmeshindwa kutoa?

Amandla...
Mkuu acha kuwaamini hawa watu, maana wataendelea kukufanya ww mtumwa wa uongo na kuutumia udhaifu huo kama kichochoro cha kujineemesha na siasa zao uchwala. Mw Nyerere aliwahi kusema mtu mjinga akikudanganya na akajua kwamba ww unajua kuwa anakudanganya ila umeamua kukubali udanganyifu wake basi itafika kipindi atakuona ww ni zaidi ya mpumb.avu. Hawa wanaodai kuwa tume sio huru wamekuwa wakishinda miaka na miaka kupitia tume iliyopo bila kupinga ushindi wao uliopatikana kupitia tume hiyo, afu leo wameshindwa ndo wanapinga na kulalamikia tume kuwa sio huru. Just ebu tumia akili yako mwenyewe uliyoumbwa nayo bila kuhusisha uliyopandikizwa na kina Mbowe. Naamini utanielewa kwanini hutakiwi kuwaamini tena hawa wanasiasa njaa

images (12).jpeg

images (10).jpeg

images (7).jpeg
 
jf
yaani kwa idadi ile ya watu waliohudhuria leokatika mahakama ya kisutu imejionyesha dhahiri kuwa watu wameichoka chadema na vituko vyake maana walivyoipromote siku ya leo ningetegemea barabara zote muhimu za dar zingefungwa hiyoinadhihirisha watanzania wamekomaa kisiasa hawataki bughuza.

wanataka maendeleo bora ambayo hawawezi kuyapata popote ila kwa ccm tu chadema inabidi mjitafakari sana wapi mlipokosea ili mrudi kuwa chama kikuu cha upinzani nilitegemea niwaone viongozi wote wakuu wa chama kumbe wengine ni waongeleaji kwenye mikutano tu pambalu kahamasisha yeye kakaa kwenye tv anaangalia

bado chadema wanasafari ndefu sana kuifikia ccm huko iliko sasa ni wakati wakae wasubiri kesi iishe na wakae wajipange upya kuliko kukurupuka tu mara katiba wakati hata ya kwao inawashinda kuifuata
 
CHADEMA WANATAKIWA WAJITAFAKARI WAANZE UPYA UPINZANI HAUENDI WANAVYOTAKA WAO HUO NI MFANO TU KUWA WAMESHAPOTEZA MVUTO NA USHAWISHI KWA WATANZANIA YAANI HATA ASILIMIA MOJA YA WATANZANIA HAWASAPOTI WANAYOYAFANYA WATU WACHACHE HIVYO NDIYO WANAPONGEZANA ETI WAMEFIKA ? NI UTOTO WA HALI YA JUU SANA HUO
Mbwa [emoji240] wewe unaongea nini?
 
Mkuu acha kuwaamini hawa watu, maana wataendelea kukufanya ww mtumwa wa uongo na kuutumia udhaifu huo kama kichochoro cha kujineemesha na siasa zao uchwala. Mw ...

Tatizo ni kuwa mambo yote yamefanywa bila kificho. Kwa akili zako za kuzaliwa unaamini kabisa kuwa CCM inapendwa kiasi ya kushinda chaguzi zote Tanzania Bara isipokuwa katika majimbo mawili tu?

Na mapenzi makubwa kiasi hicho yametokea katika awamu ya tano tu? Hata katika familia zetu upendo wa hivyo haupo. nadhani Nyerere alikuwa anawazungumzia watu kama nyie. Hao unaosema wananeemeka kisiasa ni hawa ambao kila kukicha wako mahakamani? Ni hawa ambao walifungiwa akaunti zao? Au ni wale waliokuwa wanatutambia vieiti?

Nadhani kwa kiasi kikubwa wanasiasa njaa wameishaondoka upinzani baada ya kuona hamna maslahi. Sisi tunataka wanasiasa ambao wanaangalia maslahi ya wananchi wa kawaida kuliko ya chama chao.

Amandla...
 
Sasa waje kwa ground wasijifiche kwenye space ya Maria tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Si kila mtu anaweza siasa za kuumizwa.Ingekuwa mikutano ya wapinzani inaruhusiwa bila kuitisha ccm, ungewaona wengi sana. Ccm mko bungeni wenyewe na mnapendelewa kufanya mikutano, lakini hamna ushawishi.
 
jf
yaani kwa idadi ile ya watu waliohudhuria leokatika mahakama ya kisutu imejionyesha dhahiri kuwa watu wameichoka chadema na vituko vyake maana walivyoipromote siku ya leo ningetegemea barabara zote muhimu za dar zingefungwa hiyoinadhihirisha watanzania wamekomaa kisiasa hawataki bughuza wanataka maendeleo bora ambayo hawawezi kuyapata popote ila kwa ccm tu chadema inabidi mjitafakari sana wapi mlipokosea ili mrudi kuwa chama kikuu cha upinzani nilitegemea niwaone viongozi wote wakuu wa chama kumbe wengine ni waongeleaji kwenye mikutano tu pambalu kahamasisha yeye kakaa kwenye tv anaangalia
bado chadema wanasafari ndefu sana kuifikia ccm huko iliko sasa ni wakati wakae wasubiri kesi iishe na wakae wajipange upya kuliko kukurupuka tu mara katiba wakati hata ya kwao inawashinda kuifuata
Acha kufuatilia maisha ya watu na wakati ya kwako tu yanakushinda.
 
Hebu mwambieni Sirro aseme ni ruksa kwenda mahakamani then uje aundike uzi Tena.
 
jf
yaani kwa idadi ile ya watu waliohudhuria leokatika mahakama ya kisutu imejionyesha dhahiri kuwa watu wameichoka chadema na vituko vyake maana walivyoipromote siku ya leo ningetegemea barabara zote muhimu za dar zingefungwa hiyoinadhihirisha watanzania wamekomaa kisiasa hawataki bughuza wanataka maendeleo bora ambayo hawawezi kuyapata popote ila kwa ccm tu chadema inabidi mjitafakari sana wapi mlipokosea ili mrudi kuwa chama kikuu cha upinzani nilitegemea niwaone viongozi wote wakuu wa chama kumbe wengine ni waongeleaji kwenye mikutano tu pambalu kahamasisha yeye kakaa kwenye tv anaangalia
bado chadema wanasafari ndefu sana kuifikia ccm huko iliko sasa ni wakati wakae wasubiri kesi iishe na wakae wajipange upya kuliko kukurupuka tu mara katiba wakati hata ya kwao inawashinda kuifuata
Jina lako linakuponza
 
CCM mnalidhalilisha taifa . Hii ni kesi ya hovyo nafikiri tangu tupate uhuru wetu 1961.
Kutotumia akili kumemweka Mbowe jela, hadi aje kutoka chama kishapoteana, ubabe wa kijinga ni hasara kwa upinzani na taifa kiujumla. Makesi kila siku na kusahau kuendeleza chama. Tangu 2015 CDM wamepoteana na raia kuwachoka, acheni huu ujinga kwa kweli. Msirudie makosa ya mbowe
 
Wanaogopa kupigwa na polisi na sio kuipenda CCM
 
jf
yaani kwa idadi ile ya watu waliohudhuria leokatika mahakama ya kisutu imejionyesha dhahiri kuwa watu wameichoka chadema na vituko vyake maana walivyoipromote siku ya leo ningetegemea barabara zote muhimu za dar zingefungwa hiyoinadhihirisha watanzania wamekomaa kisiasa hawataki bughuza wanataka maendeleo bora ambayo hawawezi kuyapata popote ila kwa ccm tu chadema inabidi mjitafakari sana wapi mlipokosea ili mrudi kuwa chama kikuu cha upinzani nilitegemea niwaone viongozi wote wakuu wa chama kumbe wengine ni waongeleaji kwenye mikutano tu pambalu kahamasisha yeye kakaa kwenye tv anaangalia
bado chadema wanasafari ndefu sana kuifikia ccm huko iliko sasa ni wakati wakae wasubiri kesi iishe na wakae wajipange upya kuliko kukurupuka tu mara katiba wakati hata ya kwao inawashinda kuifuata
Tutajie maendeleo yaliyoletwa na ccm,yaani kama baada ya miaka 60,Bado mnatuambia mnataka kutuletea maendeleo nyie ni vilaza,kitu gani hicho Cha kutumia miaka 60 kuleta?
 
Akina maria sarungi, lemma, lisuu na fatuma karume wanawadanganya watu wakati wao wamejificha kwenye keyboard ya computer wajitokeze wao sasa hivi hakuna.mmachinga mjinga aaache biashara zake anazofanya kwa uhuru akaandamane never
 
Watu walioshiba ni vigumu sana kuandamana. Siku kikosekane chakula ndio utaona maandamano ya kufa mtu maana njaa haina baunsa.
 
Back
Top Bottom