Kama hii ndiyo idadi ya CHADEMA kutoka mikoa kuja kwenye kesi ya Mbowe, basi chama kimepoteza mvuto kabisa

Unajipa moyo
 
Mnatishia kuua waandamanaji kupitia polisi halafu mnategemea mwitiko wa leo ndo uwe kipimo!

Acheni kutumia polisi kutishia watu maisha ndio mpime uungwaji mkono wa CHADEMA.
 
Dhambi ya kubadili gia angani inawatesa
 
Wewe ulitaka wafike mahakamani au wasifike?
 
Wenzako wako kazini kuingiza pesa na kusaidia familia zao, wewe unaamka asubuhi kwenda mahakamani kupigwa kama siyo umsukule ni nini
 
Shibodo hana uwezo wa kutoa mabilioni hayo unayozungumzia. Aidha, kwa vile hesabu za Chadema zinakaguliwa na CAG, yote hayo unayozungumzia yangeisha jitokeza zamani. Kilichobaki ni hadithi za mtaani zisizo na mbele na nyuma. Unapozungumzia largesse ya Chadema inabidi ilinganishwe na ya CCM. CCM ilikuwa na kitengo chake cha biashara, ambacho kilikuwa na supermarkets, miradi mikubwa ya kufuga kuku, hoteli n.k. Kwa vile wakati ule chama na serikali ilikuwa ni kitu kimoja, miradi yote hii ilifadhiliwa na wakaazi wote wa Tanzania. Hiyo miradi iko wapi? Wananchi walichangishwa pesa kibao ili kujenga viwanja vya michezo katika baadhi ya mikoa Tanzania, hali ya viwanja hivyo ikoje baada ya kukabidhiwa kwa CCM?
Badala ya kujiuzuru kwa kupokea wanasiasa njaa, wakina Mbowe wanastahili pongezi kwa kuwastukia mapema kabla hawajaleta madhara makubwa. Uamuzi wa kumpokea Lowassa ulikuwa strategic kwa sbabu alikuwa na mvuto kuliko Slaa na alikuja na watu ambao walisaidia Chadema kuongeza idadi ya wabunge na hivyo kuwapa nafasi ya chama kikuu cha upinzani na kupata ruzuku ambayo iliwawezesha kujijenga kwenye grassroots. Hao mnaotaka kutuaminisha kuwa ndio walikuwa na mapenzi makubwa na Chadema wameisha rudi walikotoka na kuwaacha wenye mapenzi hasa ya dhati katika chama. Ingekuwa kweli Chadema wamepoteza matumaini ya wanachama wake wengi msingefanya juhudi mliyofanya kuhakikisha kuwa hawashindi katika chaguzi zote zilizofanyika wakati wa awamu ya tano. Ni aibu na fedheha kuona wasimamizi wa chaguzi wakijificha kutoka kwa wagombea, wakifunga ofisi zao ili wagombea wasirudishe fomu, wakipokea fomu kutoka kwa wagombea ambao hawakutumwa na chama wanachodai wanawakilisha. Na mwisho ni hii ya kupindisha taratibu na kulazimisha kuwepo kwa "wabunge" wanaowakilisha chama kilichowafukuza. Mambo yote hayo yanafanywa na chama ambacho kinadai asilimia zaid ya 90 ya wananchi wanakiunga mkono! Seriously?

Amandla...
 
tatizo la chadema wao wanajuwa kuwa kufungwa au kuleta fujo ndiyo kibali cha kuja kuwa madarakani kwa reference ya mandela lakini haakumbuki kuwa mandela hawawezi kujilinganisha naye mwenzaohakufanya vitu kihuni hivyo
 
Ndio hawa walitaka kukinukisha!!?
kama wasauzi....!!?
askari wangedaka mmoja wa mfano
wangevuta zivu na korodani
sidhani kama wangerudia huu mchezo wao wa kijinga jinga....
wanataka kutuharibia nchi tu
mama aheshimiwe.......
pira jingi linapigwa...
 

#UNCOUSIOUSLY FOLLOWERS WATU KAMA HAWA NI BORA WAKAIOMBA SEREKALI IWASAIDIE MAJEMBE WAKALIME KULIKO JINSI HII WANAVYOTUMIKISHWA PENGINE SI AJABU NA RUMANDE WAKAPELEKWA KWA KUTETEA MKATE WA WENGINE
 
Tumia hata robo ya akili kujua kuwa vitisho vya polisi ccm vinakiuka haki za binadamu.
 
😁😁😁😁 We unachekesha kweli WAKATI polisi wanatembeza virungu na matamko ya kutisha kibao🤣🤣🤣🤣
 

Committing a crime is one thing and being convicted of the crime is quite another!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…