Kama hii ni kweli, basi tumefika pabaya sana

nimeshakutana na hii ya tuma pesa tukamkamate.... Na tuma pesa tum-track kwa simu... Kwanza nikatoa laki 3... Next nikaambiwa kumbe yuko mbali nitoe laki 7... ... Asked myself.. kama laki 3 didnt work how can 7 work? Ntakuja kuambiwa 2ml soon... Nikaachana nao.

Uharifu dawa yake ni kulipotiwa...

Nimeipenda hii kuiamsha serikali tukufu ya the JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii ipo tz kwa sasa hasa Dar....

Another business...

wamenitaja niwape laki 3... nikawapa... then nikaombwa 7... Na ya tracking ya sinu sijuwi

Nyambafu

Magu amka wanaharibu huku.....[emoji351][emoji397][emoji351][emoji350][emoji344][emoji3513]
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna kitu huyu Jamaa hasemi........ Kwa nini gari lake? Haya ha yawezekana Tanzania hii! Siwezi kuamini haya! Kuna vitu hasemi.........

Kuna another part of this story! Si rahisi watu wafanye uhalifu wote huo and then they walk away, huyu Pengine alikopa, kazingua..........

Pengine wametafuta namna ya ku recover fedha zao kwa style ya tofauti, Ingawa sio jambo halali....
 
Hiyo Michezo ya kishenzi ipo sana Tz tangu zamani,tena afadhali awamu hii imepungua,watu wengi sana wametapeliwa viwanja nyumba kwa style hiyo
 
[emoji16][emoji16]umeweka button ya siasa pembeni ukabonyeza button ya ukabira.....

Its a crime anyway mkuu...

tukemee wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Muache aweweseke. Kama ndio wakuu wa vitengo na wanaendesha mambo kihalifu kwanini wasimulikwe? Kwanini wasimsaidie Mchaga mwenzao? Ukute nao hivo vitengo wapo kwa kupachikwa ili waendeleze uhalifu wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Michezo ya kishenzi ipo sana Tz tangu zamani,tena afadhali awamu hii imepungua,watu wengi sana wametapeliwa viwanja nyumba kwa style hiyo

Hauwezi badili jina la gari ya mtu kwa kughushi Kiwango hicho mpaka kitambulisho cha Nida Halafu mamlaka zote hizo zikuache!

Swali lingine, hayo ni makaratasi, where is the car? Hili gari physically lipo wapi? Maana kadi ni details tu, Gari nani analo?

Maana yake ni kwamba kama ana gari ambalo usajili wake si halali yeye si ana ushahidi wote, aendelee kulitumia tu mpaka mwisho, akishikwa anao ukweli.....

Kuna story Huyo jamaa nahakikisha ajaisema, hawezi Kuwa na haki Kiwango hicho Halafu TRA, Police, na kila mtu amtendee hayo!

Kuna % fulani jamani Jeshi letu linatenda haki kabisa, nimeona na nimethibitisha, haya maneno ya mitandaoni wakati mwingine ni story ambazo Zatoka kwa watu wasiolijua Jeshi la police
 
Marandu, Lema, Lyimo, Mosha, etc.hapa kujua nani ni mkweli ni kazi kweli.
 
Hayajakukuta ndugu
 
Then kuna mijitu mipuuzi inakwambia sasa Nchi imepata mtawala pumbaf
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo mnpokwama mnakwepa tatizo!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ilikuwa imepinda sasa imeoza??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…