Hata Kama may be anadaiwa na huyo jamaa maana mtaani Kuna watu wanakopesha kwa riba asilimia mia moja! Ok ameshindwa kulipa Deni Sasa ndo ufoji ili unyang'anye gari????
Na upewe ushirikiano na mamlaka hizo zote, Pesa Ina nguvu sana believe or not!
uttoh2002,
Sent using
Jamii Forums mobile app
Oh
Hapana, yawezekana kakosewa, ila kwenye maelezo yake aeleze kila kitu ili asaidiwe!
Ushuhuda wa kweli:
Mshikaji aliniagizia gari fresh, ni Dogo Poa namwamini, nikampa hela zote mpaka za kutoa akanilete gari na certified copy ya gari etc!
Hakunipq kadi original, nikacheki na TRA nikakuta jina langu, nikatulia! Baada ya mwaka wife kadakwa town, gari inezuiwa kakopa!
Mh nikaenda nikampa gari langu nikabeba msala, nikawaomba jamaa wa assume mie ndo nimeshikwa nalo!
Tukaanzia TRA, nikakuta Wamiliki 2 wa gari! Mimi na kampuni ya kukopesha, ha! Ninataka maelezo, jamaa angu alikopa na kadi yangu 6m, actually ndo alikombolea gari, okay, deni ni 12m now!
Nikampigia Dogo, naye ni muwajibikaji akanambia Bro Nisamehe nakuja nitasema kila kitu, akaja kweli akatiwa pingu akawekwa ndani,
Nikaongea na jamaa wa mkopo fresh kwamba tulirudishe home, nikamtoa dogo, ndugu jamaa na marafiki na pia was au wakakubali wape we principle tu, tukamliza.
Kuna namna jamaa ni chanzo cha matatizo