CCM wameshindwa kuongoza nchi..
Majina ya kichaga yote, sasa mnaelewa wachaga watu majizi sana, cheki majina yao wote wachaga, wezi sana yaani wanaungana kuiba, sasa tukisema wachaga wengi wezi mnakataa. Mtandao wa kichaga huo, naamini serikali itaukausha kabisa. Hii ndio TRA zamani wachaga walikuwa kama mchwa, tukisema mnaona hatujui kitu, naamini serikali hii itafuta kabisa huu uwizi na unyang'anyi wa wazi kabisa
OhHata Kama may be anadaiwa na huyo jamaa maana mtaani Kuna watu wanakopesha kwa riba asilimia mia moja! Ok ameshindwa kulipa Deni Sasa ndo ufoji ili unyang'anye gari????
Na upewe ushirikiano na mamlaka hizo zote, Pesa Ina nguvu sana believe or not! uttoh2002,
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu vingine ukisikiliza vinasikitisha sana na maswali ni mengi kushinda majibu; kuna wahalifu wanajiamini sana nchi hii kuweza kufanya uporaji wa hadharani namna hii. Simply ni dharau kwa vyombo vya sheria ni watu ambao wanajiamini wapo juu yake; na kwa story yenyewe uwezi bisha wapo juu ya mkono wa sheria.
Jana tu kwenye thread ya Kabendera nili comment kuna uhalifu Tanzania auwezekani bila ya taasisi za ulinzi na usalama kuhusika; sasa kama ni issue za national security waanze kusafisha ndani ya nyumba za serikari kwanza (a lot of their employees can easily be compromised).
Wachaga?umeamua kuchafua wachaga kwa faida ya nani ?
Umejuaje kama wanaosemwa ni wachaga?umeamua kuchafua wachaga kwa faida ya nani ?
Hauwezi badili jina la gari ya mtu kwa kughushi Kiwango hicho mpaka kitambulisho cha Nida Halafu mamlaka zote hizo zikuache!
Swali lingine, hayo ni makaratasi, where is the car? Hili gari physically lipo wapi? Maana kadi ni details tu, Gari nani analo?
Maana yake ni kwamba kama ana gari ambalo usajili wake si halali yeye si ana ushahidi wote, aendelee kulitumia tu mpaka mwisho, akishikwa anao ukweli.....
Kuna story Huyo jamaa nahakikisha ajaisema, hawezi Kuwa na haki Kiwango hicho Halafu TRA, Police, na kila mtu amtendee hayo!
Kuna % fulani jamani Jeshi letu linatenda haki kabisa, nimeona na nimethibitisha, haya maneno ya mitandaoni wakati mwingine ni story ambazo Zatoka kwa watu wasiolijua Jeshi la police
Sijatoa alama zangu za vidole kwenye vyote hivyo. Na sitatoa.Na wewe umewapa kwenye kitambulisho au Passport au driving license au TIN. Hutoki! Ukitoka humo basi zipo japo Airport!
Aiseeee inawezekana kuna wengi wamefanyiwa huu uhuni kama hapo mwishoni amesema kuna mama katapeliwa scania lake dahhh ....ile video imeangaliwa na watu elfu kumi na nne ni matumaini atasaidiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Police wanaweza tena kwa 200%,kuna mtu alikamatwa na vyandarua robota 2 ambazo ni sawa na vyandarua 80 trh 29/11/2019 mali ya zahanati ya kerenge iliyopo korogwe tanga alifikishwa police baada ya siku moja aliachiliwa kwa dhamana na hadi leo hii kesi iko polisi haijafikishwa mahakamani na zahanati ile ni ya serikaliHapana; kwa ukweli huo anaouleza:
- TRA
- Police
Hawawezi kunyamaza kwa kiwango anachosema! Siwezi kuamini!
Mkuu zimo kweli? Umeshaambiwa huo ni mtandao mkubwa na baadhi ya wahusika wapo kwenye sehemu hizo, bado unataka kujua nini? Hujawahi kuona wauza unga wakubwa hawakamatwi na wanajulikana ila wanashikwa wale wasio na connection? Kama unaamini jamaa anaficha jambo ungejiuliza pia kwa nini wasimfunge kwa kuwachafua.Hapana; kwa ukweli huo anaouleza:
- TRA
- Police
Hawawezi kunyamaza kwa kiwango anachosema! Siwezi kuamini!
Mkuu zimo kweli? Umeshaambiwa huo ni mtandao mkubwa na baadhi ya wahusika wapo kwenye sehemu hizo, bado unataka kujua nini? Hujawahi kuona wauza unga wakubwa hawakamatwi na wanajulikana ila wanashikwa wale wasio na connection? Kama unaamini jamaa anaficha jambo ungejiuliza pia kwa nini wasimfunge kwa kuwachafua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi itakuwa either mkimbizi wa kisiasa au mfungwa. Maana ukisafiri lazima upigwe finger prints na uhamiaji!
Sahihi, sasa tusimkandamize anaeonyesha kupigania haki yake dhidi ya watu wa aina hiyo.Ujinga: thaman ya gari 30m? Mtandao? Tanzania hii wa kuina kijinga na kuacha trace Zote hizo nyuma?
Hivi unajua maana ya mtandao wa uhalifu? Ni watu wengi vichwa, Huu wwaliofanya sio wizi, hauitwi wizi, Huu ni ujinga kama ni kweli umefanyika.....