Tatizo unaishi kwa kukariri.Basi itakuwa either mkimbizi wa kisiasa au mfungwa. Maana ukisafiri lazima upigwe finger prints na uhamiaji!
Ndio mwenzo wa huku jfHapana; kwa ukweli huo anaouleza:
- TRA
- Police
Hawawezi kunyamaza kwa kiwango anachosema! Siwezi kuamini!
Ebu tuache kugeuza kila kitu siasa.
Hapa kuna uhalifu wa mchana kweupe nje ya hapo kuna uzembe uliokithiri na so many administration issues mpaka mtu unajiuliza kama kweli jeshi la polisi linafanya kazi ivyo something is very wrong.
If you ask me this is one of the very serious issues of breach and mistrust ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Siasa inapokuwa mbaya, mambo mengine yote hayawezi kuwa salama.The poor guy tumuombee mambo mengine tuyasikie kwa wengine tu; hila this is very very very wrong at all levels na tuache siasa kwenye kila kitu.
Nimesema mkimbizi kwa sababu utakuwa huji kwenu. Kwa hiyo airport ya TZ haikuhusu.
Kwani kuja Tanzania ni lazima kutoa alama za vidole?Nimesema mkimbizi kwa sababu utakuwa huji kwenu. Kwa hiyo airport ya TZ haikuhusu.
Kama uko TZ hujasafiri wewe, utakuwa hupigi kura, huna kitambulisho cha uraia, huna TIN, huna driving license, huna sim card yenye jina la kwako. Itakuwa mtu au mfungwa?
Sawa ndugu yake BashiteKwani kuja Tanzania ni lazima kutoa alama za vidole?
Hii habari ingekuwa kamili kama hao ''waandishi wa habari'' wangehoji watuhumiwa wote. Hapa tumepata upande mmoja wa habari. Walitakiwa kuwahoji TRA, Polisi na hao jamaa wanaotuhumiwa.Ujinga: thaman ya gari 30m? Mtandao? Tanzania hii wa kuina kijinga na kuacha trace Zote hizo nyuma?
Hivi unajua maana ya mtandao wa uhalifu? Ni watu wengi vichwa, Huu wwaliofanya sio wizi, hauitwi wizi, Huu ni ujinga kama ni kweli umefanyika.....
Mkuu the whole system is rotten. Hakuna cha Polisi, TRA wala TAKUKURU. Hao hudeal kwa speed ya ajabu zile issues ambazo mzee mwenyewe amezi address publicly ila hizi ambazo wanazozirise wananchi wa kawaida hawajamaa huwa wanataka hela ili jambo lako lifanikiwe.Pythagoras,
Clearly we ujali maasibu aliyokutana nayo huyo bwana. Maana umekadhania kuliweka swala lote kwenye political perspective.
Swala la polisi na siasa linasimama peke yake.
Na hili la raia kutotendekewa haki baada ya kunyan’nganywa (maana huu ata sio utapeli wa kutumia maarifa) ni sawa na mmbabe kuja kwako kuchukua mali yako mbele ya mashahidi na vyombo tunavyotakiwa kuviamini kutofanya lolote; isitoshe na usumbufu juu apewe yeye.
Sijapata kusikia duniani mshitaki anaambiwa alipiye yeye gharama za kumsafirisha mtuhumiwa kutoka kituo kimoja hadi kingine cha polisi tena afanye na negotiation ya gharama juu halafu polisi aamue kufanya kazi kutokana na dau analopewa la; only in Tanzania.
Hawa waandishi wameachia clip ya upande moja,hao waliotajwa wangeulizwa kwanza kabla ya kuitoa habari,ili wasikilizaji tupime.Hii habari ingekuwa kamili kama hao ''waandishi wa habari'' wangehoji watuhumiwa wote. Hapa tumepata upande mmoja wa habari. Walitakiwa kuwahoji TRA, Polisi na hao jamaa wanaotuhumiwa.
Hujawahi kupigwa wewe...Hapana; kwa ukweli huo anaouleza:
- TRA
- Police
Hawawezi kunyamaza kwa kiwango anachosema! Siwezi kuamini!