Eti chaguo la Mungu !
Chaguo gani la Mungu linalowekwa kwa kura za wizi na ulaghai ?
Wewe mwana haramu, kama ungejua kwamba huo upumbavu na ulofa umeletwa na CCMWewe kijana ni mpumbavu na lofa kabisa. Yaani ni loofaaa. Rais wako ni Dr Magufuli!
Mm nimeshaanza KUFUNGA KWA MAOMBI....!!! Kama ni ushindi wa haki, MUNGU hatatoa ADHABU...!!!
Kama ni USHINDI wa DHULUMA, MUNGU ataangamiza watu, hadi wakome...!!! Narudia, Mungu ataangamiza wahusika hadi wakome...!!!
In Jesus name...!!!
anatangazwa mshind siku hyo hyo anaadhimisha siku yake ya Kuzaliwa hajaona tu kuw huyu ndiye chaguo la Mungu
nimepiga kura and am happy to say it was ma first and last...sitokaa nipige kura tenaaaaaaa
CCM Govt shall from now on be known as the REGIME. The CCM Regime!!!