kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 938
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli chuki niliyo nayo Dhidi ya CCM haielezeki...... Nakosa maneno ya kusema....
Eti chaguo la Mungu !
Chaguo gani la Mungu linalowekwa kwa kura za wizi na ulaghai ?
wachaw wa Edo
Chadema kwa kumchafua miaka 7 iliyopta
Gwajima a.k.a mshenga kuwa msemaj wake kampotezea kura nying za waslam
safu yake ya kampein Mbatia, Sumaye< mbowe na Mrema hawa n watu wa jamii moja, pale wanaposimamia issue ya kitaifa na kuonekana n sura zile zile hutilia shaka hata jamii nyingne kujilinda, na hiki ndicho wana lake zone na mikoa mingne walchokifanya.... Eddo kapigwa na wanzania wote kasoro wapemba
Biblia inasema akuna mamlaka isiyo toka kwa mungu.... Ila hii niionayo inanipa wasiwasi au ni ile ya sauli kugoma kumpisha daudi wakati yeye alipishwa na Mungu. Eeeeegh Mungu embu tuonekanie maana tumekuwa kama mgonjwa alazimishwavyo dawa au sindano kwa tunavyo lazimishwa na kazi tuu akati sis siyo watumwa
mm nimeshaanza kufunga kwa maombi....!!! Kama ni ushindi wa haki, mungu hatatoa adhabu...!!!
Kama ni ushindi wa dhuluma, mungu ataangamiza watu, hadi wakome...!!! Narudia, mungu ataangamiza wahusika hadi wakome...!!!
In jesus name...!!!
nimepiga kura and am happy to say it was ma first and last...sitokaa nipige kura tenaaaaaaa
Hawa wapuuzi na majizi, walaaniwe...ninaichukia sana CCM...
Then namshauri Edward Lowassa, kuwa umetimiza wajibu wako, kutaka kuwatumikia Watanzania!. Umefanya kazi yako, imekamilika!. Sasa nakuomba statement yako hii iwe ndio ya mwisho, usiendelee kulalamika popote, bali sasa nenda zako kajipumzikie kwa amani kwa kuchunga ng'ombe wako kama ulivyoahidi, tena usipeleke malalamiko yako mahali pengine popote zaidi ya kwa aliye JUU,
Pasco
Ndugu yangu duniani kuna maajabu yaani eti Mungu atuchagulie BEPARI CHAFU NA GENGE LAKE LA WAFANYABIASHARA KUWA RAIS.Unajua hata kumfikiria tu Edo anaweza kuwa rais wa nchi yeyote ni UWENDAWAZIMU TU.Huko makanisani na misikitini,bodaboda,mamantilie mmekula sana fedha za eddo.Rudisheni.MUNGU HAWEZI KUTUCHAGULIA FISADI PAPA,ROBOTYaani Lowassa pamoja na kuhonga kwa kutumia mabilioni ya pesa kununua urais bado mnamshirikisha Mungu malalamiko yenu.
Mtu aliwanunua hadi watumishi wa Mungu kwa tamaa zake za Urais, leo eti mnamshirikisha Mungu kwenye Anguko lake Mungu yupi huyo anaeruhusu watu watafute urais kwa njia haramu!