Kama hii tweet ni kweli basi Air Tanzania ni ya kuhurumiwa

Aisee unajua sijui hii dunia ina mijitu ya namna gani Mkuu, sasa mbona kwa ninyi mliomtolea mifano kama hii hajawa-qout kuwakubali jinsi gani biashara ilivyo katika mazingira hayo ili asishangilie tu mapungufu yaliyojitokeza katika hiyo Air Tanzania?

Jamaa lina chuki za kiwango cha juu sana kwa lolote afanyalo Raisi wetu hata shetani analishangaa Mkuu
 
Basi mzikodishe sasa.
 
Unaweza kutuambia hiyo ndege ilikuwa ya shirika gani? Bado wanaendelea kutoa huduma from Dar to Cairo?
 
Ulaya ndiyo ardhi pekee ambayo Mtu anaweza kuwa na fani zaidi ya 1 na akazimiliki zote katika ufanisi sahihi kwa wakati mmoja tofauti na sisi Watanzania tulip na mitazamo hasi.

Mfano;
Jose Mourinho ni kocha huku akiwa ana fani ya kujua lugha zaidi ya 7.

Wayne Rooney ni Kijana Muingereza aliyewahi kuwa mcheza boxer na kisha akabadili fani akacheza tena mpira NA kuwa na mafanikio makubwa sana akiweka rekodi nzuri sana katika kuifungia nchi yake magoli mengi na katika klabu yake ya Manchester United.

So endelea tu kukariri kuwa sababu rahisi wako alikuwa Msomi wa fani flani, so ni marufuku kufanikiwa katika biashara.

NOTE:

Every successful Man must not have only one plan rather than others towards suitable goals development achievement.
 
Jinga hasa wewe,basi unafananisha na ndege? Angani kuna vituo vya kubebea watu?
Aisee kumbe pale Julius Nyerere International Airport kuna nyani na sokwe ila siyo Watu?

Ni mtizamo tu maana ninavyofahamu viwanjani huwa kuna mahali pa abiria wa ndege kukaa kusubiri ndege itue, ipakie abiria na isepe, ingawa pia papo ambapo wageni hupumzika wakisubiria kuwapokea ndugu, rafiki na jamaa zao.

Basi ukishanielewa utanijibu vyema Mkuu wala usipaniki maana huo ni mtizamo wangu tu.
 
JIWE alishatangaza kuwa SERIKALI haipati HASARA.

- CHA MUHIMU NI SIFA TU KWA JIWE.

#ViWonder
Aisee hilo profile lako nimelipenda bure jinsi unavyoonesha inavyopasa Mwanamke akunyenyekee katika maadili bora, siyo kama wale wanaowapigia magoti chini ili wawavalishe pete.
 
Wazo zuri sana
 
Kama kuna ukweli vile?
 
Bongo bahati mbaya kuzaliwa sisi tunaojielewa Mpendwa.
 
Mjumbe kumbuka haya ni makampuni ambayo tayar yalishakuwa Long Plan, na kufanya Feasibiltu Study....

lakin kwa sisi angalia namna tulivyorudi kwenye hii industry kwa mkurupuko, ww unafikilia what culd happened?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…