endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,297
- 1,877
Kwanza Na declare interest.Mimi ni Mshabiki wa Manchester United, Real Madrid kwa Spain Pa1 na huyu Mnyama Christiano Ronaldo toka enzi.
Pa1 na kua kinara wa Upachikaji magoli UEFA iliyoisha majuzi na kutwaa kombe baada ya kuwachapa bila huruma Majogoo wa Jiji Liverpool.
Nasikitishwa mno na Taarifa kuanza kuzagaa kwamba Ronaldo ndiye mwenye nafasi kubwa ya kutwaa tena Balon d'or.Kwann kila siku Ronaldo,Messi,Messi,Ronaldo.Hii tabia ya kukariri ni upuuzi mtupu na ndio maana hata 2010 akina Sneijder na Iniesta walifanya Mambo ya hatari lakini kwa kukariri wakapewa tena hawa Jamaa.
Kama ni kwa Mafanikio ya UEFA apewe hata MARCELO (fundi )maana ndo injini ya hiyo timu ila wengi tu hawaoni.
Tumewachoka hawa Jamaa wa2 na kusema kweli tukubali tu kwamba si wale wanaume wa kipindi cha nyuma.