Kama Hili litajitokeza Kwa Ronaldo Hakika Dunia itasimama na Kuruhusu kila mtu kushangaa

endesha

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2015
Posts
1,297
Reaction score
1,877
Kwanza Na declare interest.Mimi ni Mshabiki wa Manchester United, Real Madrid kwa Spain Pa1 na huyu Mnyama Christiano Ronaldo toka enzi.

Pa1 na kua kinara wa Upachikaji magoli UEFA iliyoisha majuzi na kutwaa kombe baada ya kuwachapa bila huruma Majogoo wa Jiji Liverpool.

Nasikitishwa mno na Taarifa kuanza kuzagaa kwamba Ronaldo ndiye mwenye nafasi kubwa ya kutwaa tena Balon d'or.Kwann kila siku Ronaldo,Messi,Messi,Ronaldo.Hii tabia ya kukariri ni upuuzi mtupu na ndio maana hata 2010 akina Sneijder na Iniesta walifanya Mambo ya hatari lakini kwa kukariri wakapewa tena hawa Jamaa.

Kama ni kwa Mafanikio ya UEFA apewe hata MARCELO (fundi )maana ndo injini ya hiyo timu ila wengi tu hawaoni.

Tumewachoka hawa Jamaa wa2 na kusema kweli tukubali tu kwamba si wale wanaume wa kipindi cha nyuma.
 
Hahahahahshshshahshshshshshhsjshsjsjsjsjsjsjsjsjsjsjsjsjsjjsjsjssjsjsjhahahahahshshshshshshhahshshahaha wacha mnyama abebe
Ingawa mm ningependekeza apewe karius mana dah.....
 
Kwanza Na declare interest.Mimi ni Mshabiki wa Manchester United, Real Madrid kwa Spain Pa1 na huyu Mnyama Christiano Ronaldo toka enzi.

Pa1 na kua kinara wa Upachikaji magoli UEFA iliyoisha majuzi na kutwaa kombe baada ya kuwachapa bila huruma Majogoo wa Jiji Liverpool.

Nasikitishwa mno na Taarifa kuanza kuzagaa kwamba Ronaldo ndiye mwenye nafasi kubwa ya kutwaa tena Balon d'or.Kwann kila siku Ronaldo,Messi,Messi,Ronaldo.Hii tabia ya kukariri ni upuuzi mtupu na ndio maana hata 2010 akina Sneijder na Iniesta walifanya Mambo ya hatari lakini kwa kukariri wakapewa tena hawa Jamaa.

Kama ni kwa Mafanikio ya UEFA apewe hata MARCELO (fundi )maana ndo injini ya hiyo timu ila wengi tu hawaoni.

Tumewachoka hawa Jamaa wa2 na kusema kweli tukubali tu kwamba si wale wanaume wa kipindi cha nyuma.

Mimi nakujua vizuri wewe ni shabiki wa Barca,
 
Haya check this out
 
Attachments

  • IMG-20180528-WA0011.jpg
    IMG-20180528-WA0011.jpg
    57.9 KB · Views: 57
Hawezi pewa kizembe balon d'or kombe la dunia ndo litaamua
 
mpaka Leo sijajua ni vigezo gan wanavyotumia kumpa mchezaji tuzo hiyo.

kama kuna raia anajua naomba anieleweshe
 
Anayestahili kubeba balon d'or na Fifa world place of the year wametenganisha sasa

Usishangae wanakuwa wawili tofauti

FIFA WORLD PLAYER OF THE YEAR atategemewa sana timu yake ya Taifa imefanyaje world cup, japo naona nafasi hii haitabase sana kwenye masuala ya UEFA, maana hatuangalii UEFA tu, Maana UEFA NI KAENEO KADOGO NDANI YA VIGEZO MAANA ni la ulaya tu

Kuna CONCACAF ya amerika kusini
Kuna CAF ya Africa
Na ipo ile ya amerika kaskazini

Ndo maana mtambue UEFA si kigeZo pekee cha kumpata mchezaji bora wa dunia,

Nafasi hapa naiona kwa NEYMAR DE SOUZA, MARCELO NA MESSI hawa watatu wana nafasi nzuri endapo timu zao zitafanya vema,

Upande wa BALON DOR
Hapa usishangae anapewa hata Ronaldo ,Messi au Moh Salah,lakin kwa heshima sioni Ronaldo alichofanya zaid ya marcello, kwasababu si lazima FIFA WORLD PLAYER OF THE YEAR AWE NDO MSHINDI WA BALON DOR, kumbuka mwaka ambao Ronaldinho kabeba FIFA WORLD PLAYER OF THE YEAR , wa balon dor alikuwa mwingine ,
Hata heshima ya BALON DOR ni ndogo sana kulinganisha na FIFA WORLD PLAYER OF THE YEAR,

Kwa taarifa yako messi hana hata Tuzo moja ya FIFA WORLD PLAYER OF THE YEAR maana mwaka 2009 walifanya fyongo kuunganisha tuzo hii kwa ujinga wa blatter, lakin wakaitengeanisha juzi juzi,
Hivo Ronaldo anazo 2 , ya mwaka 2008 na 2017 basi
 
Mkuu naomba nikukosoe kidogo.
FIFA world player of the Year mwisho kutolewa ilikua 2009 na mshindi wa mwisho alikua Lionel Messi. Ronaldo anayo 1(2008) na Messi anayo 1(2009).

The Best FIFA Men's Player ilianza kutolewa 2016 baada ya kutenganishwa na Balloon D'Or na mshindi wa kwanza alikua Ronaldo. Hivyo Ronaldo anazo mbili (2016 na 2017) na Messi hana hata moja.
 
Ronaldo nd ameifikisha team Fainal na hatimae kuchukua kombe,,,We unazan kuzuia na kufunga kipi kinaibeba Team
Ni ngumu san bek kupew Tuzo kwa vile mafankio ya Team hayaj kwa team kukaba bar ni kufunga
 
Back
Top Bottom