Kama Hili litajitokeza Kwa Ronaldo Hakika Dunia itasimama na Kuruhusu kila mtu kushangaa

Kashitaki kwa Ndolanga
 
Top 5 kwa mtazamo wangu
1.Macelo
2.Modric
3.Ronaldo
4.mess
5.Salah
 
Madrid fans mnalazimisha Macelo apewe kwa lipi? Wakina nesta, maldini and roberto carlos hawakupewa sembuse Macelo!! Kuweni serious wabongo sio kila kitu mnarahisisha huu ni mpira bwana sio maneno...upande wa cr7 sijaona alichokifanya lakini tusishangae akapewa ballon,, kwangu mimi Messi anastahili ameiwezesha tim yake kuchukuwa ubingwa mara mbili ndani ya msimu mmoja, na mfungaji bora europe and la liga, na kaiwezesha tim yake ya taifa kwenda Russia. Haya bisheni sasa, i know that wengine watatokwa povu.
 

ureno haijaenda Russia?

cr7 hajaisaidia madrid kubeba UEFA?

cr7 hajawa mfungaji bora UEFA?

tafuta vingezo vingine ila hivyo ulivyotoa hamna kitu ni upepo.
 
Hawezi pewa kizembe balon d'or kombe la dunia ndo litaamua
kombe la dunia kila baada ya miaka 4 ..haya hio miaka mingine nn kinaamua..kwa kweli kuna upendeleo mkubwa baina ya hawa watu.wawili.aisee
 
Mimi nakujua vizuri wewe ni shabiki wa Barca,
Ndiyo mimi ni Mshabiki wa Barca.Lakini ukweli ubaki palepale kwamba haya maisha ya kukariri yafike Ukomo.Messi na Ronaldo Individually hawajafanya vizuri kiivyo kustahili kupewa hii heshima kwa mwaka huu.
 
Ronaldo na Messi ni wachezaji bora kabisa kwa wakati tulionao ila nasikitika pamoja na ubora wao wamechangia pakubwa kugeuza football kua politics... Ni upuuzi na ushamba kuamin mfungaji bora ni lazima awe mchezaji bora.. Mtu anaweza asiwe mfungaji ila akawa ndo mchezaji anaebeba timu..
 
Kigezo kikubwa cha balloon d'or ni ufungaji magoli mengi katika timu unazochezea,sasa chekecha hapo,beki ni vigumu kuchukua
 
Ronaldo nd ameifikisha team Fainal na hatimae kuchukua kombe,,,We unazan kuzuia na kufunga kipi kinaibeba Team
Ni ngumu san bek kupew Tuzo kwa vile mafankio ya Team hayaj kwa team kukaba bar ni kufunga

Fainali ipi? mana nusu fainal na fainali yenyewe alikua akizunguka tu uwanjani kama mtalii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…