Madrid fans mnalazimisha Macelo apewe kwa lipi? Wakina nesta, maldini and roberto carlos hawakupewa sembuse Macelo!! Kuweni serious wabongo sio kila kitu mnarahisisha huu ni mpira bwana sio maneno...upande wa cr7 sijaona alichokifanya lakini tusishangae akapewa ballon,, kwangu mimi Messi anastahili ameiwezesha tim yake kuchukuwa ubingwa mara mbili ndani ya msimu mmoja, na mfungaji bora europe and la liga, na kaiwezesha tim yake ya taifa kwenda Russia. Haya bisheni sasa, i know that wengine watatokwa povu.