Nakuunga Mkono swala la kukemea vikali mtu yeyote anayejaribu bila haya kumlinganisha Ronaldo na Mo na sababu ni moja tu.Alichokifanya Moo kwa msimu m1 huyu mnyama kakifanya miaka zaidi ya 8.Salah ana safari ndefu kulinganishwa na hawa Mafahali wa2.Lakn ifike sehemu tukubali kwamba hawa Jamaa si wale miaka ya nyuma.Viwango si vile tena na kwa Msimu huu Salah kafanya Makubwa zaido yao Lakini si bora kuliko wao
wanaosimama
Mwenye nafasi nzuri ya kupata Balon d'or ni mshambuliaji kwa sababu ufungaji wa magoli ndio wenye point nyingi tofauti na vigezo vingine.
Rudia kusoma tena uliponinukuu uone kama kuna popote nimesema ulimlinganisha Mo na CR7.Where you have quoted was very Clear my friendHivi nyie ni wazima kiakili ? nani kamlinganisha Salah na ronaldo kwa mafaniko yao?
Lililokuepo hapa nikua kwa msimu huu Salah amecheza vizuri zaidi kuliko Ronaldo. Sasa nyie mnaleta kesi za miaka 10 zimehusika wapi?
Unasema La Pulga kawa mfungaji La Liga mara 2 na kaiwezesha timu yake kutwaa La Liga, Na Argentina kaipeleka Russia,SAWA.
CR7 Hajaipeleka Portugal huko Russia? Hajawa mfungaji bora wa Ulaya mfululizo?
Hajaiwezesha Los Blancos kutwaa ndoo ya Eufa mara 3 mfululizo!? TAJA VIGEZO VINGINE MKUU.
Nifahamishe kuhusu Fabio Canavaro mkuu alikua ni striker? 2006 kama sijakosea.
ureno haijaenda Russia?
cr7 hajaisaidia madrid kubeba UEFA?
cr7 hajawa mfungaji bora UEFA?
tafuta vingezo vingine ila hivyo ulivyotoa hamna kitu ni upepo.
vipi canavaro alikuwa mshambuliaji?
Ni bora ukasema Bale ndiye aliyeipatisha kombe but si ronaldo.
ENDELEA KUWA MACHO, NA MIMI NIWE MACHO, TUSUBIRI HALAFU TUONE KAMA KIROBOTO ATATWAA BALLON d'Or.Kwa ronaldo umechemsha baba...uefa kafanya nini zaidi ya kurukaruka tu golini? Ebu kuwa serious mkuu! Ni bora ungesema bale but sio huyo mruka ruka
ENDELEA KUWA MACHO, NA MIMI NIWE MACHO, TUSUBIRI HALAFU TUONE KAMA KIROBOTO ATATWAA BALLON d'Or.
SALAH KAIVUNJA RECORD IPI? YA DUNIA? AU RECORD YA ENGLAND?Hivi nyie ni wazima kiakili ? nani kamlinganisha Salah na ronaldo kwa mafaniko yao?
Lililokuepo hapa nikua kwa msimu huu Salah amecheza vizuri zaidi kuliko Ronaldo. Sasa nyie mnaleta kesi za miaka 10 zimehusika wapi?
UMLINGANISHE BALE NA RONALDO?Ni bora ukasema Bale ndiye aliyeipatisha kombe but si ronaldo.
Messi ana ndoo 2 sawa.Ondoa vigezo vya kufunga kisha weka vigezo vyovyote unavyovijua wewe vya kiuchazaji bado Messi atakua juu ya wachezaji wenzie tu
best dribbler
best in creating scoring oppotunities
Assist
mfungaji bora wa ligi zote bora
2 cups winner
yani Messi bado yuko juu kwenye vigezo vingi tu
BlackPanther namwita MESSI kwa jina la KIROBOTO si kwamba nimemtukana, La Hasha! Bali ni jina lake la utani yaani, "LA PULGA". Usinielewe vibaya mkuu.Sawa. Unavyomuita kiroboto pia na yeye ni binadamu kama wewe, hakuna binadamu aliyekamilika...ni hivyo mkuu!