Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema.
Kwa hesabu za logic ni kwamba Mwenyekiti ndiye kakuvujishia maana yeye ndiye aliyemsikia msaliti na yeye ndiye aliyemwona Makamu akivuta na kuachia pumzi
 
na huo ndio uamuzi sahihi dr aachwe awe mwanaharakati binafsi wa kupambana na serikali kudai haki anazoona serikali haitendi sawa
 
Nakubaliana na wewe kwamba dr Slaa kwa sasa hayupo sawa kichwani, haswa baada ya demu aliesababisha aitelekeze familia yake kugoma kuishi nae Tanzania.

Kwa sasa kaishapoteza mke na yule aliesababisha aache mke yupo zake Canada akila raha na vijana wenzake.

Karma.....
 
CHADEMA acheni unafiki,Mbowe ndiyo Msaliti,bila Mbowe kwa kushirikiana na JK kumleta Lowasa CHADEMA ili agombee Urais,Dr Slaa asingeondoka.
Muwe na soni sometimes,Dr Slaa arudi bila Masharti,kama hamtaki basi na Mbowe akae pembeni maana alikaribisha fisadi kugombea Urais kinyume na ajenda ya kupinga ufisadi ya CHADEMA!
 
Mimi ni Tomaso, I seriously doubt the authenticity ya hoja hii, kwasababu Dr. Slaa is a person of impeccable integrity, can't be that cheap!. This news is too good to be true!.
P
Alienitonya taarifa hizi ni mtu ambae alikuwa mfuasi mkubwa mno wa dokta.

So i hope hiki alichoniambia chawa wake huyo hakiwezi kuwa vinginevyo.
 
We kweli sio upinde?
 
Sasa kwenye thread yakinonsence kama hii ya kutunga watu wenye akili wachangie nn.
 
Slaa alifanya damage mbaya sana 2015 kwa shinikizo la yule kahaba! Slaa alidhamiria kwa dhati Chadema ife! Yote kwa yote msamaha ni wa mwanadamu aliyekamilika. Tusamehe na kusonga mbele!
 
Tatizo huko kwenu mzee Rungwe anasimama mwenyewe kwenye uraisi.
Na lengo la Dr ni kutaka chama ambacho kitampitisha kugombea uraisi kama 2010.
Si aunde chama chake , anaogopa kitu gani ?? Itakuwa ni kudandia dandia vyama vya wengine siku zote ??
 
Sijui tu niliumbwaje ila Dr. Slaa sijawahi kumkubali maana kama alimuasi Mungu wake kuukimbia upadre ni ngumu kuaminika kwenye jambo lolote lile.
 
Hivi wewe na hadithi zako hizi uwa hujisikii kuwa hata wajinga kuna siku moja watajua unazitunga mwenyewe na kuwa hazina hata chembe ndogo sana ya ukweli?

Naona hapo chini umepewa 'likes' na wengine hata kutoa "nzuri"

Ina maana kuna wajinga ambao unaweza kutumia kipaji chako hiki cha kutunga hadithi na ukapata mlo wa kila siku kutokana na kazi hiyo.
 
Spin doctors tume ya mipango🤣
Mbinumbinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…