Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
Kaka hii ndiyo hiphop, inapofikia mtu anasema wazi kuwa yye ni Mmarekani lakini amependa hii ngoma kuliko za akina Lil Wayne hakika Faza Neli aliuwa (RIP), Comments nyingi pale ni za wazungu, wanasema wazi kuwa hawajaelewa neno hata moja, lakini muziki wameuelewa na wamempa bigup za kutosha mshkaji!...Hits 1,000,000 YouTube siyo mchezo!:clap2:

*****KWA MASHABIKI WA HIPHOP...........
Mfano imeandaliwa show mda mmoja katika eneo moja but kumbi tofauti na kiingilio kinafanana,ukumbi mmoja kuna kundi A ambalo lina hawa wasanii [NIKKI MBISHI,NIKKI WA PILI,ONE INCREDIBLE,STEREO & STAMINA],ukumbi mwingine kuna kundi B ambalo lina wasanii hawa [ROMA,KALA JEREMIA,IZZO B,GODZILLA,Q.RACKA] utachagua wapi???
View attachment 101335
Ona hii KRS-ONE msanii wa Marekani maarufu tu but ana viewers 27,000+ na comments 60+ tu you tube KRS-One & Marley Marl - Hip Hop Lives [Official Video HD] - YouTube,wakati Faza Nelly msanii wa Tz ana viewers 1000,000+ na comments 1000+ lakini bado watz walikuwa hawamtambui
Nate Dogg umeondoka na Chorus Kaka...
Waliobaki midebwedo tu.
mie Msomaji tu ..nimeshindwa kupiga kura

poleeee humu hapakufai hata ukisoma unaweza toka kapa tu....
FirstLady umeingia Ghetto la masela,polesana
*****KWA MASHABIKI WA HIPHOP...........
Mfano imeandaliwa show mda mmoja katika eneo moja but kumbi tofauti na kiingilio kinafanana,ukumbi mmoja kuna kundi A ambalo lina hawa wasanii [NIKKI MBISHI,NIKKI WA PILI,ONE INCREDIBLE,STEREO & STAMINA],ukumbi mwingine kuna kundi B ambalo lina wasanii hawa [ROMA,KALA JEREMIA,IZZO B,GODZILLA,Q.RACKA] utachagua wapi???
View attachment 101335
*****KWA MASHABIKI WA HIPHOP...........
Mfano imeandaliwa show mda mmoja katika eneo moja but kumbi tofauti na kiingilio kinafanana,ukumbi mmoja kuna kundi A ambalo lina hawa wasanii [NIKKI MBISHI,NIKKI WA PILI,ONE INCREDIBLE,STEREO & STAMINA],ukumbi mwingine kuna kundi B ambalo lina wasanii hawa [ROMA,KALA JEREMIA,IZZO B,GODZILLA,Q.RACKA] utachagua wapi???
View attachment 101335
Naondoka taratibu kabisa Mkare_wenu