Kama huhusiki na hiphop usije hapa

Kama huhusiki na hiphop usije hapa

Kaka hii ndiyo hiphop, inapofikia mtu anasema wazi kuwa yye ni Mmarekani lakini amependa hii ngoma kuliko za akina Lil Wayne hakika Faza Neli aliuwa (RIP), Comments nyingi pale ni za wazungu, wanasema wazi kuwa hawajaelewa neno hata moja, lakini muziki wameuelewa na wamempa bigup za kutosha mshkaji!...Hits 1,000,000 YouTube siyo mchezo!:clap2:

kweli nabii hakubaliki kwao,watu walivyokuwa wanaichukulia xplastaz/faza nelly hapa bongo ni tofauti kabisa na comments nilizozisoma hapo
 
Kaka hii ndiyo hiphop, inapofikia mtu anasema wazi kuwa yye ni Mmarekani lakini amependa hii ngoma kuliko za akina Lil Wayne hakika Faza Neli aliuwa (RIP), Comments nyingi pale ni za wazungu, wanasema wazi kuwa hawajaelewa neno hata moja, lakini muziki wameuelewa na wamempa bigup za kutosha mshkaji!...Hits 1,000,000 YouTube siyo mchezo!:clap2:

Ona hii KRS-ONE msanii wa Marekani maarufu tu but ana viewers 27,000+ na comments 60+ tu you tube KRS-One & Marley Marl - Hip Hop Lives [Official Video HD] - YouTube,wakati Faza Nelly msanii wa Tz ana viewers 1000,000+ na comments 1000+ lakini bado watz walikuwa hawamtambui
 
*****KWA MASHABIKI WA HIPHOP...........

Mfano imeandaliwa show mda mmoja katika eneo moja but kumbi tofauti na kiingilio kinafanana,ukumbi mmoja kuna kundi A ambalo lina hawa wasanii [NIKKI MBISHI,NIKKI WA PILI,ONE INCREDIBLE,STEREO & STAMINA],ukumbi mwingine kuna kundi B ambalo lina wasanii hawa [ROMA,KALA JEREMIA,IZZO B,GODZILLA,Q.RACKA] utachagua wapi???

View attachment 101335

SIntaenda kokote.
Ntabaki nyumbani huku nasikiliza pini za Jay Moe...
 
wote wa kali kwa kutegemea mazingira hao jamaa wa kundi A ni wakali sana ila ngoma zao nyingi ni za kusikiliza ghetto hawana nyimbo nyingi za show ikilinganisha na kundi B

katika muktadha huo nitaenda kundi B
 
*****KWA MASHABIKI WA HIPHOP...........

Mfano imeandaliwa show mda mmoja katika eneo moja but kumbi tofauti na kiingilio kinafanana,ukumbi mmoja kuna kundi A ambalo lina hawa wasanii [NIKKI MBISHI,NIKKI WA PILI,ONE INCREDIBLE,STEREO & STAMINA],ukumbi mwingine kuna kundi B ambalo lina wasanii hawa [ROMA,KALA JEREMIA,IZZO B,GODZILLA,Q.RACKA] utachagua wapi???

View attachment 101335

Kundi A kaka mana wanachoimba ndo Hip Hop yenyewe na si entertainment hip hop
 
*****KWA MASHABIKI WA HIPHOP...........

Mfano imeandaliwa show mda mmoja katika eneo moja but kumbi tofauti na kiingilio kinafanana,ukumbi mmoja kuna kundi A ambalo lina hawa wasanii [NIKKI MBISHI,NIKKI WA PILI,ONE INCREDIBLE,STEREO & STAMINA],ukumbi mwingine kuna kundi B ambalo lina wasanii hawa [ROMA,KALA JEREMIA,IZZO B,GODZILLA,Q.RACKA] utachagua wapi???

View attachment 101335

Kundi A kaka mana wanachoimba ndo Hip Hop yenyewe na si entertainment hip hop ila kuna baadh ya Kundi B lyk Roma nae ilitakiwa umuweke Kundi A
 
Back
Top Bottom