Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Nimefufua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa ni taabu mno👍😃😄
Vitu vya kiingereza... Blandering, skimming, plaster etc😄
Ujenzi si lelemama.
Sometimes i wish watu wa Nhc, wangekuwa wanajenga kwenye makazi ya kawaida ya watu kulingana na ramani ya mtu husika, then tunawalipa robo tatu au nusu. Robo ya gharama au nusu nyingine unalipa polepole.
Kuna watu kweli wanapata kiharusi (stroke) kwasababu ya ujenzi wanadhani ni kurogwa kumbe stress za ujenzi.
Na ukimpata fundi mwenye mawenge ndio balaa hatari. Anakutajia vifaa vingi ambavyo havitumiki vyote au anachanganya cement ratio isiyo sahihi., na ile inayomwagika chini haangaiki kuizoa.
Misumari ikidondoka kama hakuna wa kuokota imekula kwako. Bati au mbao zinakatwa vipande vipande bila mpangilio anajua una hela.
Kuna maeneo yana changamoto ya malighafi za ujenzi mpaka kero. Mfano; ujenzi nyumba na majengo kwa Wilaya ya Makete, mchanga ni changamoto sana. Unatakiwa kwenda kuchukua mchanga Makambako au Mbeya (sehemu moja inaitwa Number 1) zaidi ya kilometa 100. Gharama ya Trip moja ya Lori la mchanga inakuwa kati ya Shilingi 300,000 na Shilingi 400,000.Gharama inaweza kuwa kubwa au ndogo kulingana na eneo ulipo, kwa Mwanza mfano, gharama ya mchanga, mawe, maji na matofali si ghali sana kama nilivyoona kwenye mchanganuo wako.
Eeeh mbona hio bei ya mchanga ni kawaida hata huku ambako kuna mashimo ya mchanga?Kuna maeneo yana changamoto ya malighafi za ujenzi mpaka kero. Mfano; ujenzi nyumba na majengo kwa Wilaya ya Makete, mchanga ni changamoto sana. Unatakiwa kwenda kuchukua mchanga Makambako au Mbeya (sehemu moja inaitwa Number 1) zaidi ya kilometa 100. Gharama ya Trip moja ya Lori la mchanga inakuwa kati ya Shilingi 300,000 na Shilingi 400,000.
vipi ushahamia Accumen Mo hujatualika mm na mdogo angu Mshamba mwenye michongo kwenye haryuusiii 😁😁😁😁😁Niko Dar mzee nataka ya vyumba vinne haijalishi bajeti gani ila napiga mpaka bati then narelax coz nyumba nilipopanga pazuri na nalipa ndefu miezi sita.
Safi yaani sina wasi najenga coz ninatarajia mwakani mwisho nioe mpaka nikioa niwe nishafika kweny bati halafu naishi na mke nyumba ya kupanga mwaka au mwaka na nusu nahamia kwangu..it's my plan
Maeneo mengine mchanga una gharama ndogo sana. Mfano: Mbeya - trip 1 ya Lori la mchanga ni sh 100,000, Dodoma - Trip 1 ya Mchanga ni Sh 120,000 n.kEeeh mbona hio bei ya mchanga ni kawaida hata huku ambako kuna mashimo ya mchanga?
Hapana,Unaweza kufa na nyumba ukaacha hapo, otherwise jenga bila haraka, kwa awamu na taratibu uta enjoy
Ukifikia level vitu vya kingereza uwiiiiii ni stress juu ya stress hasa kama unafosi nyumba kuisha na budget yako ni ndogo
Hongereni watu mnaomiliki mabangalooooo
Hongereni mnaomiliki ghorofa
Ila JF raha sana.Hapana,
Sio kweli. Ujenzi kama unataka kujenga we anza na chochote ulicho nacho. Mshahara wangu haujaongezeka sana Kwa hivi karibuni lakini nimemudu kujenga ndani ya miezi 6 nyumba kubwa tu na ikaisha kabisa.
Sasa nimejiuliza miaka ya nyuma Kwa mshahara almost huo huo nilikua nafanyia nini hata sijui.
Ukiwa na mentality hizo kwamba mpaka upate kukubwa ndio uanze ujenzi utaishia kua mpangaji milele
Tuseme nyumba yako kubwa imegharimu 60m. Ili uimalize kwa miezi 6 inabidi kila mwezi utumie wastani wa 10m.Hapana,
Sio kweli. Ujenzi kama unataka kujenga we anza na chochote ulicho nacho. Mshahara wangu haujaongezeka sana Kwa hivi karibuni lakini nimemudu kujenga ndani ya miezi 6 nyumba kubwa tu na ikaisha kabisa.
Sasa nimejiuliza miaka ya nyuma Kwa mshahara almost huo huo nilikua nafanyia nini hata sijui.
Ukiwa na mentality hizo kwamba mpaka upate kikubwa ndio uanze ujenzi utaishia kua mpangaji milele
Ndo maana nimesema JF ni raha tupu. Unaweza kuta mwenzio anakunja 20m kwa mwezi. Inawezekana.Tuseme nyumba yako kubwa imegharimu 60m. Ili uimalize kwa miezi 6 inabidi kila mwezi utumie wastani wa 10m.
Huku maisha mengine yakiendelea inabidi uwe na mshahara wa 12m kwa mwezi au sio?
Alafu bei za kupangisha nyumba sasa ni ndogo nilivyokuwa huko nilishangaa sana juu ya hili.Kuna maeneo yana changamoto ya malighafi za ujenzi mpaka kero. Mfano; ujenzi nyumba na majengo kwa Wilaya ya Makete, mchanga ni changamoto sana. Unatakiwa kwenda kuchukua mchanga Makambako au Mbeya (sehemu moja inaitwa Number 1) zaidi ya kilometa 100. Gharama ya Trip moja ya Lori la mchanga inakuwa kati ya Shilingi 300,000 na Shilingi 400,000
Ingawa huwa kuna kipindi cha neema kwenye kodi ya nyumba kama umejenga nyumba Standard. Wakati wa Ujenzi wa Mradi wa Barabara wa Njombe - Makete - Isyonje niliwahi kuwapata Wajenzi wa Barabara (Wachina) walipangisha nyumba yangu kwa Shilingi 650,000 kwa mwezi. Halafu Apartment ya Jiko, Sebule na Chumba cha Kulala chenye Choo nilipangisha kwa Shilingi 80,000.A
Alafu bei za kupangisha nyumba sasa ni ndogo nilivyokuwa huko nilishangaa sana juu ya hili.
MI MWENYEWE NASHANGAA NYUMBA TOFALI 5000HAHA HA AMSINGI TOFALI 2000 DU HATARIUHapo kwenye tofali 5000mbona nyingi sana mkuu bungalow hilo!??
nyumba ya makazi kujenga kwa gharama kubwa ni hasaraTuseme nyumba yako kubwa imegharimu 60m. Ili uimalize kwa miezi 6 inabidi kila mwezi utumie wastani wa 10m.
Huku maisha mengine yakiendelea inabidi uwe na mshahara wa 12m kwa mwezi au sio?
Niuzie pagale hiloMwenzio mimi nimetupia hela yote kwenye ujenzi, alafu sijafikia malengo ya kugonga bati basi ni stress juu ya stress
Hizo pesa wenzetu mnatoa wapi ?My house costed around 45mil hadi kufika ilipo imebakiza tiles, aluminum na inside doors.
Wewe mzee kwanini unatufokea?Endeleeni kukatishana tamaa... Mtaani mama ntilie, muuza matunda, mwenye genge, machinga, fundi viatu hawa wote wanajenga nyumba nzuri tu... Mnaishia kuwaita wachawi freemason majambaz, wakat ukweli ni kwamba wakipata 10,000 basi 6,000 wanaitunza kwajili ya kununua matofali au cement...
Wengi mnasema kujenga ni kugumu kwasabab hamjui nini maana ya ramani, hamjui nini maana ya kiwanja, hamjui nini maana ya materials, hamjui kufanya utafiti wa bei za materials, bei za mafundi wazur wenye uzoefu, hamjui kukaa chini na kumpa masharti fundi (akiyashindwa aache kazi au atakosa malipo), fundi anekuambia zinahitajika cement mifuko 30 kazi ipo katikati anakuambia ongeza mifuko 20 unamchekea chekea tu lazima akuone fala akuchezee akili, kuna watu mnaokota raman hujui ina ukubwa gani 😂 hujui lolote unamwambia fundi wew jenga tu ilimradi nyumba ifanane na hii ramani, ktk mazingira haya lazima uone ujenz ni gharama...
Wewe kijana una biashara yako nzuri au una kazi nzuri ya uhakika miaka inazid kwenda upo umepanga chumba kimoja au chumba na sebule kazi yako kumlipa kodi mwanaume mwenzako are you stupid..? Bad enough ukute upo na Familia ktk nyumba ya kupanga... Kujenga ni jambo la kujitambua tu, haina haja kisa unajenga eti ushindwe kunywa bia kula vzuri au kununua nguo... Ni mpumbavu tu anayeweza kuogopa ujenzi mtakufa masikini ktk nyumba za watu...
Wewe ni mhaya, au mhaya wannabe?Sitaki kuwakatisha watu tamaa lakini kujenga sio laisi labda kama unajenga kibanda … mimi nilikuwa mmoja wa watu wanaofikilia hivyo hadi nilipoanza kujenga nilikuwa na Zaidi ya mil 110 yote imekwisha na nyumba bado sana ndio kwanza nimefunika zege la ghrofa ya kwanza nyumba ya 5bed rooms ghrofa moja na kisehemu cha kupunzikia juu . So kama unataka kujenga nyumba standard jipage .