Kama hujajipanga vizuri usichokoze ujenzi

Siyo kwamba unakuwa huna akiba
Fundi anakuja anakwambia kwa kuanza leta matofali buku yatatosha kwa mfano, nunua na cement mifuko 50 wewe unanunua kila kitu
Wanaanza na hela yao ushAbageini mpak kwenye level flan

Hiyo level haijafikiwa tirio linaisha labda cement au tofali mfano
Kibongo bongo ndo pale tunapojikuta tumeitumia na akiba kwa sababu makadirio ya mafundi wengi hayako realistic na wengi wanapenda kupunguza vitu ili umpe kazi uko mbele sasa unaambiwa ogeza hiki, ongeza kile dah ni huzuni kwa kweli
 
Jamani kwa ambao waliapaua mpaka bati kwa vyumba vinne watoe mchanganua wa gharama kwa eneo la dar .. msaada please!!
 
Mafundi wahuni ili mradi wapate kazi
 
Hiyo akiba kama haitakiwi kuguswa maana yake haitakiwi kutumika, na kama haitumiki basi hata isipokuwepo yote sawa tu.
 
Aisee hii mm ilinikuta wakati naweka aluminium..mafundi miyeyusho sana.
 
Ugawanye hivi

Tofali za kunyanyua msingi labda 2000

Kupiga mkanda/beem panahitajika nondo millimeter 12,kokoto, mchaga, sement

Kunyanyua boma tofal 3500 hadi 5000
Kupiga linta unahitaji nondo,sement,mchanga

Kwahiyo boss piga kwanza hesabu za kunyanyua boma ndio uhamie kupaua

Kumbuka fundi mzuri hakubali kazi chini ya milion na laki saba hadi milion mbili na nusu

Hii nyumba ya kawaida sana

Niambie tu Haina tatizo hela zinatafutwa coz hata mkopo fasta
 

Mkuu mimi na wewe ni ndugu nn maaana natembelea humo humo,nikiona kitu hakiwezekani nakuwa nakipa muda wa kujipanga upya ili tu nisiguse akiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…