Kama hujawa tayari kuishi na kuiheshimu ndoa yako ni bora ubaki peke yako na uhuru wako

Mambo yamebadilika sana...usasa mwingi mno....tukipunguza usasa(utandawaz) ndoa zitakuwa na ahueni
Kivipi mkuu?
Hatari
Hapa ni Arumeru sehemu ganii ndugu ripota?
Hapa nahisi ni maeneo ya Ngusero sombetini japo sina hakika. Depal tusaidie hapa ni wapi?
Dah moyo wangu unaumia sababu ya hao watoto. Wamelazimika kuwa wasuluhishi wa ugomvi katika umri mdogo, hawakuogopa hatari ya mawe na hasira ya baba yao
Watoto ndio wahanga wakubwa linawaathiri sana ila wazazi wengi hawalijui hilo.
 
Zamani mtu akiolewa hata kumtongoza watu wanaogopa ila sio sasa...Mtu bado anajipost mtandaoni kweny comments unaona neno ''mchumba" hujui kama utani wala nn , tena aliyecomment ni mtu mwingine wala sio mumewe .

kushikana kwa sana .
Zama zimebadilika na watu wake, siku hizi uzinifu ni sifa ya kujivunia kwa walio wengi mpaka waliopo ndoani. Inasikitisha mno.
Ndoa ni ndaonoo

Duuu, jamaa mwenye mke ni kama hasira zilimzidi au amelewa kidogo? Mana kama anayumba yumba.

Anyway uchi usikupeleke jela, uache uende
Masta alikasirika mno, mwanamke msaliti ni kuachana nae tu.
Bado kuna mipumbavu humu inashawishi watu kuoa
Tutaoa tu muda ukifika, tuishi nao kwa akili.
 
We tofautisha mwanamke anaejitambua kuwa kaolewa au na anaiigizia ndoa
Ndio maana juzi nilisema mahali humu, nilisema wanawake wengi wanapenda kuolewa kama status tu ila kiuhalisia hawapo tayari kuitumikia ndoa, sio jambo wanalopenda ndio maana haya yanatokea. Haya haimaanishi sisi wanaume ni watakatifu.
 
Ndio maana juzi nilisema mahali humu, nilisema wanawake wengi wanapenda kuolewa kama status tu ila kiuhalisia hawapo tayari kuitumikia ndoa, sio jambo wanalopenda ndio maana haya yanatokea. Haya haimaanishi sisi wanaume ni watakatifu.
Kabisa na wanaume kazi mnayo
 
Ndio maana watu wengi wenye akili kubwa hawakuwahi kuoa.

NDOA NI UTAPELI TU!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ndoa ni baraka
Nimejisikia vibaya,isee pole yake huyo jamaa ama kweli ndoa ndoano,Sina mpango was kuoa kabisa
Familia una mpango wa kuwa nayo?
Kataa ndoa wasione hii
Washaiona na wanapiga kampeni zao.
Huyo mtoto anaejitahidi kusuluhisha amefanya moyo wangu upate simanzi.

Mwingine analia Kwa uchungu😥
Watoto wanaumia sana na muda haya yakitokea hakuna anaewaza kuwahusu watoto.
 
Kataa ndoa wanazidi ku- trend bila promo.... Wanaupga mwingi nadhan fainali watacheza na Mama samia..
 
mdudu kagongewa
Watu hawaelewi n mke wa mdudu au wa mnyama 😂
Mwanamke anatombesha kwa mwanaume mwingine mwache aende akajiachie naye, kukaa kupigana mawe kudhalilishana tu kisa ucchi
Hakika ni kukubali yaishe tu kuepusha mengineyo.
Nakisia kwamba huyu jamaa alikatazwa kuoa single maza akaenda kuopoa huyo aliemfumania😀
Malizeni tofauti zenu na singo maza 😂
 
Mambo yamebadilika sana...usasa mwingi mno....tukipunguza usasa(utandawaz) ndoa zitakuwa na ahueni
shida sio usasa, shida ni ulimbukeni tulionao juu ya huo usasa. Pia asilimia kubwa jamii yetu imepoteza ile hofu ya usaliti na kuchukulia usaliti kama jambo la kawaida tu
 
Kivipi mkuu?

Hatari

Hapa nahisi ni maeneo ya Ngusero sombetini japo sina hakika. Depal tusaidie hapa ni wapi?

Watoto ndio wahanga wakubwa linawaathiri sana ila wazazi wengi hawalijui hilo.
kunataka kufanana na kikatiti ila sina hakika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…