Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
mdudu kagongewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuu?Mambo yamebadilika sana...usasa mwingi mno....tukipunguza usasa(utandawaz) ndoa zitakuwa na ahueni
HatariDuuh
Hapa nahisi ni maeneo ya Ngusero sombetini japo sina hakika. Depal tusaidie hapa ni wapi?Hapa ni Arumeru sehemu ganii ndugu ripota?
Watoto ndio wahanga wakubwa linawaathiri sana ila wazazi wengi hawalijui hilo.Dah moyo wangu unaumia sababu ya hao watoto. Wamelazimika kuwa wasuluhishi wa ugomvi katika umri mdogo, hawakuogopa hatari ya mawe na hasira ya baba yao
Hata kama ni wewe usingekasirika?jamaa hasira iliwaka zaidi baada ya mwanamke kujaribu kumrushia jiwe.
We tofautisha mwanamke anaejitambua kuwa kaolewa au na anaiigizia ndoaKivipi mkuu?
Hatari
Hapa nahisi ni maeneo ya Ngusero sombetini japo sina hakika.
Watoto ndio wahanga wakubwa linawaathiri sana ila wazazi wengi hawalijui hilo.
Zama zimebadilika na watu wake, siku hizi uzinifu ni sifa ya kujivunia kwa walio wengi mpaka waliopo ndoani. Inasikitisha mno.Zamani mtu akiolewa hata kumtongoza watu wanaogopa ila sio sasa...Mtu bado anajipost mtandaoni kweny comments unaona neno ''mchumba" hujui kama utani wala nn , tena aliyecomment ni mtu mwingine wala sio mumewe .
kushikana kwa sana .
Ndoa ni ndaonoo
Masta alikasirika mno, mwanamke msaliti ni kuachana nae tu.Duuu, jamaa mwenye mke ni kama hasira zilimzidi au amelewa kidogo? Mana kama anayumba yumba.
Anyway uchi usikupeleke jela, uache uende
Tutaoa tu muda ukifika, tuishi nao kwa akili.Bado kuna mipumbavu humu inashawishi watu kuoa
Ndio maana juzi nilisema mahali humu, nilisema wanawake wengi wanapenda kuolewa kama status tu ila kiuhalisia hawapo tayari kuitumikia ndoa, sio jambo wanalopenda ndio maana haya yanatokea. Haya haimaanishi sisi wanaume ni watakatifu.We tofautisha mwanamke anaejitambua kuwa kaolewa au na anaiigizia ndoa
Kabisa na wanaume kazi mnayoNdio maana juzi nilisema mahali humu, nilisema wanawake wengi wanapenda kuolewa kama status tu ila kiuhalisia hawapo tayari kuitumikia ndoa, sio jambo wanalopenda ndio maana haya yanatokea. Haya haimaanishi sisi wanaume ni watakatifu.
Ndoa ni barakaNdio maana watu wengi wenye akili kubwa hawakuwahi kuoa.
NDOA NI UTAPELI TU!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Familia una mpango wa kuwa nayo?Nimejisikia vibaya,isee pole yake huyo jamaa ama kweli ndoa ndoano,Sina mpango was kuoa kabisa
Washaiona na wanapiga kampeni zao.Kataa ndoa wasione hii
Watoto wanaumia sana na muda haya yakitokea hakuna anaewaza kuwahusu watoto.Huyo mtoto anaejitahidi kusuluhisha amefanya moyo wangu upate simanzi.
Mwingine analia Kwa uchungu😥
Sio kidogo, kazi ni kubwa mno.Kabisa na wanaume kazi mnayo
Watu hawaelewi n mke wa mdudu au wa mnyama 😂mdudu kagongewa
Hakika ni kukubali yaishe tu kuepusha mengineyo.Mwanamke anatombesha kwa mwanaume mwingine mwache aende akajiachie naye, kukaa kupigana mawe kudhalilishana tu kisa ucchi
Malizeni tofauti zenu na singo maza 😂Nakisia kwamba huyu jamaa alikatazwa kuoa single maza akaenda kuopoa huyo aliemfumania😀
Kwanini mama S?Kataa ndoa wanazidi ku- trend bila promo.... Wanaupga mwingi nadhan fainali watacheza na Mama samia..
Your dick inside her wasn't the first one, and it won't be the lastUkimkuta sio bikira ujue huyo ni malaya. Kama unamuoa muoe at your own risk
Hizi ndio changamoto za kumfanya malaya awe mke
Your dick inside her wasn't the first one, and it won't be the last
Mwenyezi Mungu asiwaache kwa kila hatua mpate wenza sahihiSio kidogo, kazi ni kubwa mno.
shida sio usasa, shida ni ulimbukeni tulionao juu ya huo usasa. Pia asilimia kubwa jamii yetu imepoteza ile hofu ya usaliti na kuchukulia usaliti kama jambo la kawaida tuMambo yamebadilika sana...usasa mwingi mno....tukipunguza usasa(utandawaz) ndoa zitakuwa na ahueni
Sana mpaka aibu sasashida sio usasa, shida ni ulimbukeni tulionao juu ya huo usasa. Pia asilimia kubwa jamii yetu imepoteza ile hofu ya usaliti na kuchukulia usaliti kama jambo la kawaida tu
kunataka kufanana na kikatiti ila sina hakika sanaKivipi mkuu?
Hatari
Hapa nahisi ni maeneo ya Ngusero sombetini japo sina hakika. Depal tusaidie hapa ni wapi?
Watoto ndio wahanga wakubwa linawaathiri sana ila wazazi wengi hawalijui hilo.