Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

Baikoko kale kafilimbi chao hata ukiwa wapi unakasikia. Tulitorokaga Galanos kwenda hadi kule Mwakizalo usiku kufuata Baikoko. Hahaaaa wakati tunarudi, polisi wakatukimbiza. Mungu atusaidie kwa kweli. Hali ilikuwa mbaya sana.
 
Niliwahi kukutana na kesi huko kwenye harakati zangu za utafutaji wa maisha enzi za Yule Fara marehemu wa chato na raisi wa wanyonge πŸ˜€.....mwana mama alikuja ananiambia mtaalamu nikienda haja kubwa sitoi chochote isipokuwa damu yenye harufu mbaya... Kuja kuchukua historia yake mwanamama kafirwa miaka karibu 16 na anasema mchezo kauanza toka alipokuwa mdogo Sana....
 
Umenikumbusha Kuna kipindi mlikuwa Kila jmos mkipita mnatukana tukaja kuwa winda jmos moja mkala fimbo San enzi hizo mbabe wa Usagara ndumula mpanje popote ulipo bro respect Tanga mmenifunza vingi sana
 
Umenikumbusha Kuna kipindi mlikuwa Kila jmos mkipita mnatukana tukaja kuwa winda jmos moja mkala fimbo San enzi hizo mbabe wa Usagara ndumula mpanje popote ulipo bro respect Tanga mmenifunza vingi sana
Hahaaa mwaka gani hiyo?
 
Week end hii ngoja niende nikatembee Tanga walau siku mbili nikamate mtoto wa kiManga
 
Hahaaa mwaka gani hiyo?
2010 hiyo kaka enzi hizo kulikuwa na ligi inaitwa bito cup Mazoezi Kila jmos deep sea.Tanga Raha sana chichi ,la casa, pwezaa usangara tulikuwa watto wa mjin Wala bata sana
 
Uongo. Nimekaaa Tanga miezi 45.
 
Umesahau moja
Tanga wahangaikaji wengi ni wanawake tena wakisambaa kuliko wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…