Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

Aisee Tanga Pazuri..
Nimekula 'UONO' dagaa wa chenga.
Kweli club taarabu na Madera..
Nilifanya Utalii kwa kutumia baiskeli...nilifurahia sana..
Haaahaaa..Naitwa ..naambiwa niinde tena..
 
Umefika forozani
 

Attachments

  • IMG_20240822_094357.jpg
    1.7 MB · Views: 14
  • IMG_20240822_110701.jpg
    1.9 MB · Views: 16
mimi nimefika hapo mara 2, ila sikubahatika kutembea tembea japo nilikuwa na hamu sana ya kuzurula...muda ukawa hautoshi na nilikosa mwenyeji wa kunitembeza..wiki zote 2 sikutembea niliumia sana. Nitarudi kabla sijazeeka 😛
Unakaa sehemu wiki 2 unashindwa kuufahamu mji kweli!!!??
 
Sehemu gani tanga kuna warembo wa kienyeji wazuri?tutembelee huko?
 
Tanga! Nimekaa km mwezi hivi,maduka mtaanii kufungua saa nne(donge) ,watu hawapendi tabu kabisaa,kidogoro,siku ya mfungo maduka yatachelewa kufunguliwa yatawahi kufugwa,matunda km yotee ni sehem bomba kurefresh mind na sio kibiashara labda mazao
 
Nipe chimbo la madada poa wasio na hiyana wala nongwa yaani wanakususia kwa elfu 3 hadi 5
 
Mara ya kwanza namuona mwanaume gay anabambiwa na mwanaume mwenzie hadharani, that was Tanga, mwaka 2010, Fax Club.
Tulikuwa teens toka Arusha na Moshi..
Ikabidi twenzetu La Casa, karibu na Chichi for clubbing.
Pia tulishangaa sana bei ya vitu kuwa rahisi mno.
Mfano mihogo ilikuwa sh. 25.
Na tulikodi sahani kwa sh. 30/moja!

Pamoja na hayo, huyo dada aliyetukodisha vyombo ndiye anashikilia rekodi ya mwanamke mzuri zaidi niliyewahi kumuona face-to-face.

Nitarudi Tanga for fun.
 
Miaka hio Malaya waliokuwa wanajiuza kwa wanafunzi Tanga school..waliokuwa wanajinadi ingza Dole uone yangu mnato na NI for free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…