mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wagosi wachapakazi sana lakiniHakuna biashara huko..majitu mavivu sana yani pande hizo.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagosi wachapakazi sana lakiniHakuna biashara huko..majitu mavivu sana yani pande hizo.
Duh!Sasa mtu anashamba la nazi ajihangishe na nini?
Ukiwa na minazi 100 we ni tajiri.
Kumbuka mnazi unavuna hata miaka 40
Na nyie wqzungu mna laana ya muda ganiNachelea kusema "WAAFRIKA MNA LAANA YA MILELE"
Hapa umekosea Sio wavivu ni wavuvi nadhani ulikosea kupanga spellingUmesahau uvivu ni jiji lenye jamii ya watu wavivu sana uzeeni wanakuja kuishi terrible life
Ndio ila vyuo vya kati ndio vipo vingi, kulikuwahi kuwa na chuo kikuu ila nahisi kilifungiwa cha Eckenforde Tanga UniversityTanga haina chuo kikuu
Unakaa sehemu wiki 2 unashindwa kuufahamu mji kweli!!!??mimi nimefika hapo mara 2, ila sikubahatika kutembea tembea japo nilikuwa na hamu sana ya kuzurula...muda ukawa hautoshi na nilikosa mwenyeji wa kunitembeza..wiki zote 2 sikutembea niliumia sana. Nitarudi kabla sijazeeka 😛
Nyumba zote za zamani nyingi zilikuwa hivyo, nimejionea Ruvuma, Iringa, Mwanza, Dar es Salaam Dodoma na sehemu nyinginezo, halafu unakuta kwa nyuma ndio uwani na kuna vyooTanga nyumba zao kama wapemba, nyumba lazima iwe korido ndefu halafu vyumba kila upande kama guest house.
Mikoa mingi hizi baiskeli zipo. Tanga Ndio Jiji Pekee Kuna Baiskeli Za Kukodi Yaani Kama Bodaboda Vile Zina Kiti Chenye Sponge Hadi Raha.