Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

Kwahiyo mkuu kusalimia tu ndo kukufanye ilukose amani?? Ila mi nipo TANGA mwaka wa 10 huu, hakuna kitu Kama hicho. Kwa kifupi tuseme uchawi upo Hata maeneo mengine ya Tanzania na dunia, shida Ni Imani ambayo imekua ikisambazwa tangu na tangu ambayo Hadi leo kuhusu uchawi TANGA. Ila Ni Mambo ya kuhasithiana tu vijiweni ambayo hayana uthibitisho. Karibu TANGA mkuu.
 
mimi nimefika hapo mara 2, ila sikubahatika kutembea tembea japo nilikuwa na hamu sana ya kuzurula...muda ukawa hautoshi na nilikosa mwenyeji wa kunitembeza..wiki zote 2 sikutembea niliumia sana. Nitarudi kabla sijazeeka πŸ˜›
Next time nicheki mkuu
 
Umesahau majini na misukule kuzagaa mitaani usiku
 
Mbona mkokaa na Mirungi sisikii ikitajwa.

Mida hii vijana mitaa ya usagara,kwa njeka wanatafuna majani kama Mbuzi wa Bwana Kheri
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwezi mtukufu wa Ramadhani wametulia kidogo, ila kweli kwa maeneo hayo, alafu ukute Kuna kijamvi, usiku mzima mashangazi na wajomba Ni kuchanja gomba tu
 
Wadada wanapatikana wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…