Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

Mimi sio wa huko japo katika ukuaji wangu maeneo ya pwani kidogo Mimi kabila moja gumu sana🤣🤣🤣hakuna mabeautiful wote makomandoo tu 😂😂
Achana na u beautiful, bora chura ikiwepo.

Huo ukomandoo si lolote, paka ana makucha makali lakini hatimaye analamba ndimu.😄😄😄😄🤣🤣🤣 (joke)
 
21. Ni jiji ambalo ukitoka km 30 kutoka city center tayari uko kijijini , kama unabisha jaribu kwenda kuelekea Horohoro
22. Ni jiji ambalo linakua kwa mwendo wa konokono hadi utajiuliza hili kweli ni jiji? Yaani unaweza kukaa mwaka mzima husione hata ghorofa jipya likijengwa
23.Hoteli maarufu na inayoonekana ina viwango ni moja tu, Tanga beach
24. Wikiendi lodge zinajaa sana na ukiwa mgeni umefika mida ya usiku sana unaweza kulala stendi
25.Wenyeji wana Customer care mbovu sana. Unaweza kuingia dukani, mgahawani hutaambiwa karibu. Watakukodolea macho tu.
26. Tanga sio jiji.
 
JIJI LA KISHAMBA SANA HILO
 
Achana na u beautiful, bora chura ikiwepo.

Huo ukomandoo si lolote, paka ana makucha makali lakini hatimaye analamba ndimu.😄😄😄😄🤣🤣🤣 (joke)
😂😂Unasema tu hujakutana na kabila letu
 

Naenda Tanga mimi, hakuna pressure ya maisha huko, alafu Tanga jiji mapenzi yaliko zaliwa, waungwana sana, ingawa wachawi sana pia, nifanye mpango niende nikae Tanga..!! 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…