Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

Wa crdb Benk ukivuka barabara
 
Tanga ndo sehem pekee tanzania kuna viwanda vya kupika chapati na nitamu balaaa barabara 17 msikiti wa hanisa ukienda kula asubuhi hutojutia hadi unakufa na barabara 18 pale panauzwa chapati usisiki mahotel yote makubwa yanachukua chapati pale na bahazi ya Kambi za jeshi
 
hapo kwenye bodaboda baiskeli dar zipo nyingi tu
 
Khairat Asad Hotel maarufu Asad Hotel
 
Pale barabara ya 17 kwa Da Mwajuma zile chapati sijui wanaweka nini,yani ni tamu kuliko maelezo.
Kila nikirudi Tanga lazima nipitie pale nionje zile chapati
 
Mkuu super market wameongeza moja pale barabara ya 4 😀
Pia
Mkuu super market wamewaongezea moja ipo pale barabara ya 4
Pia Traffic Light nyingn pia ipo pale relli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…