MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Ndio maana ya mifumo, kwani pesa ikiingia Mpesa, Songesha inakuuliza unajisikiaje ππ. Wanakulamba tu. Leo hii kwanini tunampa askari tochi ya speed. Kwanini isikae system pale inacheck speed, inapiga picha, inatambua gari, na kukuwekea faini yako. Sasa tunakazana kusema askari wanaongoza kwa rushwa, tumetengeneza mazingira kwa kuongea sanaWazo zuri lakini thubutu watanzania ni wezi kuanzia viongozi hadi wananchi.
Kibaya zaidi ni dunia ya utapeli
Hilo halihalalishi uzembe wa watumishi wa serikaliNa wale waliopotezwa na kuuwawa na wengine kupigwa risasi na wanamtaja Makonda?!
Na yule aliemtolea Bastola Waziri fulani na kutaka kumuua?!
Mkuu usisahau hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa sio hisani kwa wananchi, wala sio kazi ya ziada kwamba katumia ubunifu na akili Kuya fanya hayo.Wamama wa Masai Market waliokuwa wameporwa ardhi yao na Katibu wao.Imerudi kwa wenyewe. Mzee Massawe aliyenunua ardhi milioni 26 na aliyemuuzia kiwanja kuuza kiwanja hicho hicho kwa kampuni binafsi.Mzee Massawe amerudishiwa kiwanja chake.
Mtoto aliyebakwa na Polisi kumzungusha mama wa mtoto kwa nia ya kuwalinda watuhumiwa.Wahusika wote wamekamatwa.Mtandao wa Halmashauri ya Jiji wa kula pesa umegundulika na wahusika kusimamishwa kazi.Longido pesa za afya milioni 600 wahusika wapo Polisi.Mtandao wa mashine feki Karatu wahusika wamekamatwa.Hayo ni machache ya mengi yaliyofanyika chini ya uongozi wa Makonda.
Mkuu mpaka mtu afe ndio uone kuwa ni jambo baya! Hii ni akili ya wapi!Alipovamia nani alijeruiwa,aliuwawa au kunyang'anywa mali yake?,tumia akili unalishwa maneno unashiba
Uko na akili sana.Kero zipo nyingi sana haswa local goverment. Hiki kiburi kinatokea sababu hakuna anaenwafuatilia, so wanatengeza dynasty zao ili kujinufaisha. Although nqpingana na makonda kwenye mambo mengi, kwenye hili nuunga mkono. Madudu ni mengi sana
Katika wakuu wa mikoa takribani 30 je ni wangapi wanafanya hayo anayofanya Makonda?nitajie hata watano tuMkuu usisahau hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa sio hisani kwa wananchi, wala sio kazi ya ziada kwamba katumia ubunifu na akili Kuya fanya hayo.
Ndiyo majukumu anayo lipwa Kuya fanya. Kuna wakuu wa mikoa wengi wamefanya hayo yote bila kupayuka Mkuu.
Kwa hio Dharau zitamalizwa na Makonda? Vipi akihama Arusha?Ukweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, utazungushwa na kusumbuliwa kwa vitu vidogo sana, unapoteza muda, gharama ya fedha na gharama zingine nyingi.
Kusema kweli kuna wakati mjane mmoja alikuwa anafuatilia mirathi ya mme wake yaani amekamilisha kila kielelezo kinachotakiwa lakini ilimchukua miaka 3 kupata hiyo hela huku akienda maofisini kila wiki.
Kuna wakati unawaza kama bunduki zingekuwa zinauzwa kiholela basi wengi wa watumishi wa umma wangesha kula chuma.
Yawezekana approach ya Makonda sio nzuri kama ndivyo lakini naomba tunapomkosoa tuje na majawabu ya kuondoa hizi dharau za watumishi wa umma kwa watu ambao kimsingi ndio mabosi wao.
Mwananchi hawezi kufanya jeuri na dharau mahali anapohitaji huduma bila sababu ya msingiPia Kama hujawahi kukutana na usumbufu dharau na jeuri za wananchi huwezi kujua ugumu wanaopitia Watumishi wa Umma katika majukumu yao.
Huwezi elewa kwa sababu siyo mtumishiMwananchi hawezi kufanya jeuri na dharau mahali anapohitaji huduma bila sababu ya msingi
Mkuu kwani Makonda kafanya nini tangible mpaka sasa hivi Arusha hadi nikutajie wakuu wa mkoa wengine???Katika wakuu wa mikoa takribani 30 je ni wangapi wanafanya hayo anayofanya Makonda?nitajie hata watano tu
Hii mada imenigusa sana.Ukweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, utazungushwa na kusumbuliwa kwa vitu vidogo sana, unapoteza muda, gharama ya fedha na gharama zingine nyingi.
Kusema kweli kuna wakati mjane mmoja alikuwa anafuatilia mirathi ya mme wake yaani amekamilisha kila kielelezo kinachotakiwa lakini ilimchukua miaka 3 kupata hiyo hela huku akienda maofisini kila wiki.
Kuna wakati unawaza kama bunduki zingekuwa zinauzwa kiholela basi wengi wa watumishi wa umma wangesha kula chuma.
Yawezekana approach ya Makonda sio nzuri kama ndivyo lakini naomba tunapomkosoa tuje na majawabu ya kuondoa hizi dharau za watumishi wa umma kwa watu ambao kimsingi ndio mabosi wao.
Huyo ni takataka za kina maria sarungi. Toka 2018 stori ni hizo na wanasheria wapo si wapeleke hizo evidence.Mkuu achana na huyo chizi amejaza story za vijiweni za wanasiasa. Nilichogundua asilimia kubwa ya watanzania hawatumii ubongo wao kufikiri na kutatua jambo, wanafuata mkumbo tu.
Nitajie Mkuu wa Mkoa mwingine aliyefanya hayo unayoita majukumu ya Mkuu wa Mkoa?Mkuu usisahau hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa sio hisani kwa wananchi, wala sio kazi ya ziada kwamba katumia ubunifu na akili Kuya fanya hayo.
Ndiyo majukumu anayo lipwa Kuya fanya. Kuna wakuu wa mikoa wengi wamefanya hayo yote bila kupayuka Mkuu.
Kwani hapa uzi tunaojadili unahusu nini?umesahau kinachojadiliwa hapaMkuu kwani Makonda kafanya nini tangible mpaka sasa hivi Arusha hadi nikutajie wakuu wa mkoa wengine???
Ben Saanane wako na Dereva wa Lisu wankunywa Mvinyo baada ya kubadilishwa Uraia wao..Na wale waliopotezwa na kuuwawa na wengine kupigwa risasi na wanamtaja Makonda?!
Na yule aliemtolea Bastola Waziri fulani na Ben
Magereza ndiyo sehemu yake sio hapo kwenye uRC.Hilo halihalalishi uzembe wa watumishi wa serikali
Muhalifu kwake ni Gerezani.Vipi mbona una hasira hivi na mwanaume mwenzio? ama uliolewa ukaachika?
Halafu Hakimu apigiwe simu?!Kama mna ushahidi si bora mpeleke mahakamani sio kutuimbia mitandaoni
MTU mvivu atamchukia Makonda.Ukweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, utazungushwa na kusumbuliwa kwa vitu vidogo sana, unapoteza muda, gharama ya fedha na gharama zingine nyingi.