Kama hujawahi kuliwa nauli wewe sio risk taker,utakufa masikini

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kama unaogopa kutuma nauli ya basi kutoka mkoa X kwenda mkoa Y utaweza kweli kuagiza mzigo wa milioni kadhaa online huko China au Dubai,

Duniani marisk taker ndio waliofanikiwa

Take a risk tuma nauli ujilie vinono
Mi nimeliwa sana nauli ila na mimi nimewala sana waomba nauli.

Hata nimiliwa nauli sijali najua kuna siku kilaza mmoja atajileta tu nimchakate
 
9f0a35e8-bbf4-42ad-9a6d-c458f9b772a9.jpg
 
Nakupa pole kijana, kwani inaonesha bado hujalijua lengo lako hapa duniani.

Sidhani Kama hilo swala ni muhimu Sana, kiasi Cha kujisifia namna hiyoo🤔🤔

Kuna watu walifanya na wanazidi kufanya maamuzi magumu na ya hatari ili tu wafanikiwe kwenye maisha yao "iwe kuhusu biashara na uchumi,siasa, maamuzi ya familia na hata kivita.

Chagua njia sahihi ili ufanikiwe hizo hela ulizopoteza ni tofauti kabisa na mtu alitepoteza pesa katika biashara au uwekezaji. Chagua njia sahihi.

Nimeamua nikukumbushe maana jua huwa kali mchana ila jioni linazama.
 
Nimeluwa laki moja hapa acha nijifariji usinipangie
 
Kama unaogopa kutuma nauli ya basi kutoka mkoa X kwenda mkoa Y utaweza kweli kuagiza mzigo wa milioni kadhaa online huko China au Dubai,

Duniani marisk taker ndio waliofanikiwa

Take a risk tuma nauli ujilie vinono
Mi nimeliwa sana nauli ila na mimi nimewala sana waomba nauli.

Hata nimiliwa nauli sijali najua kuna siku kilaza mmoja atajileta tu nimchakate
Idiot
 
Back
Top Bottom