Nashangaaa na mim😂Sasa hii nayo ni kitu ya kujisifia
Ndio taifa la kesho hiloNashangaaa na mim😂
Yea unaonekana na wewe umewahi kuliwa baada ya kula nauli za watu au sio?Hata nimiliwa
Nimeluwa laki moja hapa acha nijifariji usinipangieNakupa pole kijana, kwani inaonesha bado hujalijua lengo lako hapa duniani.
Sidhani Kama hilo swala ni muhimu Sana, kiasi Cha kujisifia namna hiyoo🤔🤔
Kuna watu walifanya na wanazidi kufanya maamuzi magumu na ya hatari ili tu wafanikiwe kwenye maisha yao "iwe kuhusu biashara na uchumi,siasa, maamuzi ya familia na hata kivita.
Chagua njia sahihi ili ufanikiwe hizo hela ulizopoteza ni tofauti kabisa na mtu alitepoteza pesa katika biashara au uwekezaji. Chagua njia sahihi.
Nimeamua nikukumbushe maana jua huwa kali mchana ila jioni linazama.
IdiotKama unaogopa kutuma nauli ya basi kutoka mkoa X kwenda mkoa Y utaweza kweli kuagiza mzigo wa milioni kadhaa online huko China au Dubai,
Duniani marisk taker ndio waliofanikiwa
Take a risk tuma nauli ujilie vinono
Mi nimeliwa sana nauli ila na mimi nimewala sana waomba nauli.
Hata nimiliwa nauli sijali najua kuna siku kilaza mmoja atajileta tu nimchakate