Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko wapiNawasilisha kama kichwa kinavyosema. Hilo neno ndio identity ya JF kama hujawahi kulitaja iwe topic au kwenye comment yeyote nakupa million sasa hivi.
Yataje maneno mengine hapa ambayo ni identity.
Kaandika Paula paul sembuse weweView attachment 1627718
Haya chukua ringi lako ukachezeNipe hiyo milioni Jombaa.
SawaMamber since 2020 November 16..bro umejiunga leo haupati huu mpunga inatakiwa atleast 3 month
inanisubiri mimi1 MILLION CASH BADO IPO KWA MEZA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna watu ata like awajawai toa na wapo huu ni uchoyo yani sijui wazazi wengine wanaleleaje watoto wao
fanya kunikabidhi hiyo pesaNawasilisha kama kichwa kinavyosema. Hilo neno ndio identity ya JF kama hujawahi kulitaja iwe topic au kwenye comment yeyote nakupa million sasa hivi.
Yataje maneno mengine hapa ambayo ni identity.
Mimi sijawahiYaa hakuna janjajanja