Kama hujui English unaweza kutongoza kweli?


Hapo umemena, yaani sanaa ya kutongoza imepotea kabisa! Unakuta uko na girlfriend hata miaka miwili huujui mwandiko wake! Maana kila kitu ni kwenye simu na emails! Duh!

Zile barua tulizokuwa tunaandikia shule pale juu imeandika '' Open with a smile, close with a kiss'' wala hazipo tena!

Barua ndani imeanza kwa kuandikwa.....'' Hodi hodi mpenzi, tafadhali fungua mlango wa mapenzi''.
 


Ha ha ha ha, mkuu umenichekesha sana......
Tulikuwaga boardning enzi hizo tunakuelewa kbs!
 
Hii thread nimecheka ile mbaya. Kazi ipo.
 
Mmmmh!
Sasa kama ninayetongozwa kidhungu sijui!
 
Aight.... C yaaaaaa...kisss!!!! YUKK:suspicious:
 
hahahahah lol
Nguli Jabali umeniacha hoi lol

mmmhhh kuna raha duniani lol
 
Furahi dada maisha mafupi sana ati

mie mtu akiniingilia na kiswahili..
halafu aniimbie hizo nyimbo tamu za Bongo..
aandike ka ngonjera kadogo cha kiswahili..
mmmhh hapo nayeyuka lol

kama kweli unajua kimombo ni sawa kukitumia kumtongoza mtu..
kama cha kubabaisha ni borea usijiumbueee..

ndo maana nilicheka sanaa yaani nilivyoosoma hii thread yako dear..
 

ha ha ha basi we poa sana kuna jamaa huku juzi niliona thread moja hivi anashusha mashairi ngoja niitafute ile ni ku hook up nae
 
ha ha ha basi we poa sana kuna jamaa huku juzi niliona thread moja hivi anashusha mashairi ngoja niitafute ile ni ku hook up nae

hahahahah lol
Anaitwa Magulumangu..
niliyasoma yote na senks kibao lol
hahahahah
mie kweli mtu anaendandika poem/ mashairi mmmhhhhhh
acha tu dear lol

lakini mie tayari nina TF ...lol
 
toka nijiunge hapa jf mwaka 2006...hii ni moja ya post ambayo imenichekesha sana kwa sababu hhili jambo lishawahi kunitokea yaani kama ulikuwepo mkuu nguli jabali
 
hahahahah lol
Anaitwa Magulumangu..
niliyasoma yote na senks kibao lol
hahahahah
mie kweli mtu anaendandika poem/ mashairi mmmhhhhhh
acha tu dear lol

lakini mie tayari nina TF ...lol

ha ha ha ndio yeye jina lake tofauti na mashairi yake, umesema tayari una TF maana yake nini?

Mimi nilimpataga my wife wangu mwenyewe kwa kumwandikia mistari ya hardcore hip hop 🙂
 
toka nijiunge hapa jf mwaka 2006...hii ni moja ya post ambayo imenichekesha sana kwa sababu hhili jambo lishawahi kunitokea yaani kama ulikuwepo mkuu pdidy

Mimi Ni Nguli Jabali
 
ha ha ha ndio yeye jina lake tofauti na mashairi yake, umesema tayari una TF maana yake nini?

Mimi nilimpataga my wife wangu mwenyewe kwa kumwandikia mistari ya hardcore hip hop 🙂

mmmh hiyo safi sana dear..
mimi bado napenda ile style ya zamani ya kutongozwa hahah lol
barua, poem/mashairi na vitu kama hivyo..
tena kwa lugha ya kiswahili ndo tamu zaidi lol

nilimaanisha niko na The Finest lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…